7. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 28 Oktoba 1990. (sehemu kutoka kwenye maktaba ya kanda)
Maono:
Kristo alinionyeshea kengele, na kusema, "Ray, unaona kengele hii?"
Nikajibu, "Ndiyo."
Kisha Kristu akasema, "Kengele hii haina maana wala thamani mpaka kuwe na mtu wa kukigonga. Je, utanisaidia kukigonga? Hii ni kengele ya uamsho. Je, utakigonga Ray na kuanza kupanda Mbegu katika mioyo ya watu?"
Alisema huduma yangu ni ya uamsho na hii ilinifurahisha kwa sababu sikupenda kuingia katika huduma ya kufunguliwa au uponyaji. Nilishutuka kwa sababu sikujua maana ya uamsho ni nini. Hata hivyo nilisema ndiyo kwa sababu nilidhani kuwa hiyo itakuwa rahisi kuliko huduma ya uponyaji. Nilidhani kuwa huduma ya uponyaji ndiyo huduma yangu niiliyochaguliwa niifanye na mimi sikupenda kabisa vita vya kiroho.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )