9. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 4 Desemba 1990 katika lugha ya Kihispaniola na kwa lugha isiyoeleweka.

Kwa nini? Kwa sababu ya ……

(lugha isiyo eleweka?)

Kwa nini? kwa nini?

Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi.

Mimi Siwezi, Mimi siwezi.

Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi

(lugha isiyo eleweka?)

Mimi Ndimi nijuaye.

Kile kitu ambacho ni,

Macho, Macho, Macho, Macho,

 

Ndiyo, Mimi Ndiye hicho Kitu, Kitu changu.

Kile kitu kinakula mmoja, Kinanila Mimi.

Kitu kile kinanila Mimi,

kwa sababu Mimi Ndimi, Kwa sababu Mimi Ndimi,

kwa sababu nilikipika Mimi, nilikipika Mimi.

Niliupika mdomo, mdomo,

na Mwanangu, Mwanangu.

Ah ndiyo, Malaika zangu, Malaika zangu

(lugha isiyo eleweka?)

Yule, Yule, Yule, Yule yuko hapa.

Najua, na hii ndiyo sababu.

Kwa kila kilichopo.

Kwa kila kilichopo.

Mwanangu anakuja Sasa!

Mwanangu anakuja Sasa!

Mwanangu anakuja.

Nawaonya ninyi.

Nawaonya ninyi.

Nawaonya ninyi.

Nawaonya ninyi Watoto Wangu.

Nawaonya ninyi Watoto Wangu.

Mwanangu, vipi kitu hiki kina hali gani?

Vipi kitu hiki kina hali gani?

Vipi,.vipi, vipi, vipi, vipi.

Ni kama vile halijawahi kuwapo.

(lugha isiyo eleweka?)

kwa sababu ya

(lugha isiyo eleweka?)

kiini, kiini,

(lugha isiyo eleweka?)

Ndiyo, kiini, kiini kitakacho kuwepo.

 

Kama kiko hapa. Kama kiko hapa.

Sielewi itakavyo wasaidia ninyi,

 

itakavyo wasaidia ninyi.

Jinsi kiini kitakavyo wasaidia.

Saidia ninyi.

Itakuweje kwako?

Itakuwa kuwaje kwako?

Kwa sababu chanzo.

Kuna moja tu.

Kuna chanzo kimoja.

Ndiyo, ndivyo nilivyofanya.

Jinsi nilivyofanya.

(lugha isiyo eleweka?)

Kwa nini? Kwa nini? Kwa nini ndiyo.

Inakubidi

Inakubidi kutumia kichwa chako kigumu.

Inakubidi kutumia kichwa chako kigumu,

kwa sababu huamini kuwa Ninajua.

Ninajua kichwa kile kigumu.

Inakubidi kutumia kichwa chako kile kigumu,

kwa sababu kwa saa moja, kwa saa moja,

Ndiyo kwa saa moja iliyopo hapa! hapa!

Ile saa moja iko hapa!

Ndiyo, ndiyo Watoto Wangu fikirini.

Mnifikirie Mimi, mnifikirie Mimi.

(lugha isiyo eleweka?)

Mimi Ndiye, Mimi Ndiye, Mimi

Ndiye, Watoto Wangu.

Mimi Ndiye, Mimi Ndiye Yule, Mwanangu,

Wewe ni Mwanangu, Mwanangu wa Baba.

Hakuna mwingine wa kukusaidia.


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.