10. Utabiri aliopewa Raymond Aguilera, tarehe 6 Desemba 1990 katika lugha ya Kihispania na kwa lugha isiyoeleweka.

Ah, Ah,

halaiki, mdomo, Halaiki, mdomo,

halaiki, mdomo, halaiki, mdomo,

halaiki, halaiki, halaiki

halaiki, halaiki, halaiki

(lugha isiyo eleweka?)

kwani imezoea, kwani imezoea

kwani imezoea, kwani imezoea.

Ilivyo?, Ilivyo?

Ilivyo mwanangu? Ilivyo?

(lugha isiyo eleweka?)

Kwani mdomo, kwani mdomo

(lugha isiyo eleweka?)

Kwa yule, yule, yule,

Yule, yule ambaye ni.

Kwa Yule ambaye ni Binti Yangu,

Binti Yangu, Binti Yangu, Binti Yangu,

(lugha isiyo eleweka?)

Mnahali gani? Mnahali gani? Mnahali gani?

Najua hali zenu Wanangu,

Wanangu, Wanangu.

Vipi mambo yanaendeleaje?

Ni vipi mambo yanaendeje Wapendwa Wangu?

Vipi mambo yanaendeleaje Wapendwa Wangu?

Ah, ah, ah, Wapendwa Wangu, Wapendwa Wangu

Vipi mambo yanaendeleaje?

Vipi mambo yanaendeleaje Wapendwa Wangu

Mnisikilize! Je, Mnanisikiliza Mimi?

Mnanisikiliza Mimi? Kwani najua,

Kwani najua tabia ya jicho.

 

Najua tabia yote ya jicho.

Najua tabia ya jicho.

Najua tabia yote ya macho kwa sababu

Mimi ni Mungu, Mungu, Mungu, Mungu.

Najua, Najua yote, Najua yote, Najua yote.

Najua jinsi mambo yanavyo kwenda.

Najua jinsi mambo yanavyoenda.

Najua jinsi mambo yanavyoenda.

Vipi mambo yanakuendeeje Mwanangu?

Vipi mambo yanakuendeeje Mwanangu?

Vipi mambo yanakuendeeje?

Ah, mambo ni shwari.

Mambo ni shwari.

Mambo ni shwari

Mambo ni shwari

Najua, Najua tabia ya Malimwengu.

Najua tabia ya Malimwengu

Kwani niliumba kila kitu.

Nilifanya kila kitu kwa Mikono Yangu.

Kwa Mikono Yangu niliumba kila kitu

kwa Mkono Wangu, Wanangu wa Kiume na wa Kike.

Mambo yanaendaje? Mambo yanaendaje?

Tazama angani.

Tazama angani.

Tazama angani

Najua, Najua kila kitu.

Najua kila kitu.

Kwani Mimi ni Mungu Wako.

Mimi ni Mungu Wako.

Mimi ni Mungu Wako.

Kwanini hamtaki kunisikiliza mimi?

Kwanini hamtaki kunisikiliza mimi?

Kwanini hamtaki kunisikiliza mimi?

Kwani wakati,

kwani wakati,

kwani wakati umefika.

Umefika Mwanangu, na Binti Yangu.

Umefika.

Mnisikie!

Mnisikie!

Mnisikie,

Mwanangu na Binti yangu.

Umefika.

Umefika.

Mimi ni wa Kwanza na wa Mwisho

Kwani na jua kila kitu.

Najua kila kitu

Mimi ni Baba yako.

Mimi ni Baba yako

Pamoja na Mwanangu, Mwanangu,

pamoja na Mwanangu Yesu.

Yesu, Mpendwa Wangu wa thamani.

Mpendwa wangu wa thamani.

Mtukufu Wangu.

Mtukufu Wangu,

Pamoja na Roho Mtakatifu,

Roho Mtakatifu,

Roho Mtakatifu.

Imenipita Mimi. Imenipita Mimi,

kile nilicho kisema.

Kila nilicho sema kitakwenda kutokea,

wakati umefika.

Desemba 2,

Desemba 2,

Desemba 2,

Imefika.

Ile Tarehe,

ile tarehe,

ile Tarehe za Nyota.

ile Tarehe za Nyota.

ile Tarehe za Nyota,

Imefika.

Imefika,

Wanangu na Mabinti Zangu.

Tazameni juu angani.

Tazameni juu angani.

Kwani imeanza. Yote yameanza,

Ya kwamba Nimesema, kuwa itatokea.

Imefika, kila kilichotokea.

 

Nilichowaambia mababa wa,

mababa wa, mababa wa, mababa wa mababa zenu waliopita.

Mnisikilize Mimi!

Mnisikilize Mimi!

Mnisikilize Mimi!

Kwani wakati umefika.

Wakati umefika

Wanangu na Mabinti zangu.

Loo, Loo, Nawapenda mno.

Nawapenda mno.

Loo, nawapenda sana

Nawapenda kwa Moyo Wangu wote,

lakini ninyi, lazima Mnisikilize!

Lazima Mnisikilize Wanangu, na Mabinti zangu.

Kwani Mungu wenu.

Mungu wenu,

Mungu wenu.

Anawaita ninyi.

Anawaita ninyi

Kwa Moyo Wake mkunjufu,

 

Kwa Moyo Wake mkunjufu,

 

Wakati umefika.

Wakati umefika.

Wanangu na mabinti zangu.

Weka sikio lako ardhini.

Weka sikio lako ardhini

Kwani kishindo utakachosikia,

kishindo utakachosikia

itakuwa ni kishindo cha Nyayo za Roho Mtakatifu.

Za Roho Mtakatifu ambaye amefika.

Amefika akicheza dansi, akicheza dansi

kwani wakati ni huu.

kwani wakati ni huu.

Minisikilize! Mnisikiklize!

Kwa nini hamnisikilizi Mimi?

Sijui, kwa nini hamniskilizi Mimi?

 

Loo, aibu gani! Aibu gani!

Ya kuwa hamnisikilizi!

Ya kuwa hamnisikilizi Mimi,

Kwani nilitengeneza shimo.

Nilitengeneza shimo.

Nilitengeneza Shimo

Kwa ajili ya wale wasiotaka kunisikiliza Mimi.

Na watakwenda Shimoni,

Wale wasiotaka kunisikiliza Mimi,

Watakwenda Shimoni

Ni aibu gani! Ni aibu gani!

Inaumiza Moyo Wangu.

Inaumiza Moyo Wangu

Kwa sababu hamnisikilizi Mimi.

Kwa sababu hamnisikilizi Mimi

Ndiyo, Wanangu wa Kike na wa Kiume lieni.

Lieni kwa macho yenu,

Na kwa mioyo yenu, na kwa roho zenu.

Kwani kama hamtanisikiliza

Mtaenda Shimoni.

Mtaenda shimoni.

Kwani kila atakaye kwenda na Mimi lazima awe msafi.

Lazima awe msafi akilini mwake na rohoni mwake.

Kwani Mimi ndimi Mungu wako.

 

Mimi ni Mungu wako.

Mimi ni Mungu wako.

Mambo yanaendaje?

Mambo yanaendaje Mwanangu na Binti yangu?

Mambo yanaendaje?

Mambo yanaendaje Mwanangu na binti yangu?

Umeanza.

Muda umeanza.

Nilicho wambieni miaka mingi iliyopita

kwa baba zenu na mama zenu,

kwa baba zenu na baba zenu,

na baba zenu, na mama zenu,

miaka iliyopita,

miaka iliyopita,

miaka iliyopita.

Kwa sababu, kwa sababu,

kwa sababu, kwa sababu,

Nawapenda sana.

Nawapenda kwa Moyo Wangu wote.

Nawapenda kwa Moyo Wangu wote.

Kwa sababu ninyi nyote ni Wangu.

 

 

Ninyi ni Wangu na wa Mwanangu, wa Yesu Wangu.

Yesu, Mpendwa Wangu wa thamani,

Mpendwa wangu wa thamani

pamoja na Roho Mtakatifu,

pamoja na Roho Mtakatifu.

Mnisikie Mimi! Mnisikie Mimi! Mnisikie Mimi!

Sielewi kwanini, hamnisikii Mimi?

 

Sielewi kwa nini, hamnisikii Mimi?

 

Sielewi kwa nini hamnisikii MiMi?

 

Kwa sababu Mimi niko hapa.

Niko hapa,

mbele yako,

mbele yako

nikiwa nimenyoosha Mikono Yangu,

nikiwa nimenyosha Mikono Yangu

Niko hapa

niguse Mimi

niguse Mimi,

niguse Mimi,

Mwanangu na Binti Yangu

Kwani na wapenda mno.

Nawapenda kwa Moyo Wangu,

kwa Moyo wangu,

kwa Moyo Wangu.

Nawajua jinsi nyote mlivyo.

Nawajua jinsi nyote mlivyo.

Ninyi ni wachafu, wa Mtu yule wa kale,

wa Mtu yule wa kale,

wa Mtu yule mbaya

wa Shimo, wa Shimo,

wa Mtu wa kale wa Shimo.

Wa Mtu wa kale wa Shimo,

kwa sababu ninyi watu ni wabaya.

Ninyi ni wabaya kuanzia moyoni hadi kichwani.

Ni aibu gani! Ni aibu gani,

Nilikuwa nanyi nyie watu,

na hamkunisikia Mimi.

Hamkunisikia Mimi.

Niliwaonyesheni,

Niliwaonyesheni ishara.

Niliwaonyesheni ishara nyingi.

Sielewi kwa nini.

Nyie watu hamkunisikia Mimi.

 

Hamkunisikia Mimi,

Sielewi.

Kwani niliwapenda kwa Moyo Wangu,

Niliwapenda kwa Moyo Wangu,

lakini hamkunisikiliza Mimi.

Hamkunisikiliza mimi,

Hamkunisikiliza Mimi.

Ni aibu gani! Ni aibu gani!

Ilibidi nitengeneze shimo

Ilibidi nitengeneze shimo.

na saa itakuja kutimia.

Saa ile itakuja kutimia

Wakati wa usiku wa manane.

Kwani hakuna atakayejua, saa.

Hakuna atakayejua saa, ila Mimi tu.

Mimi pekee, Baba,

Baba wa Mwanga,

Baba wa Mwanga,

Baba wa Mwanga.

Kwani najua kila kitu,

Najua njia sahihi.

Najua njia sahihi.

Najua njia sahihi.

(lugha zisizo eleweka?)

Kihispaniola:

Mwanangu, Mwanagu,

Nakupenda.

Nakupenda.

Nakupenda sana.

Ndiyo, Nakupenda sana.

Nakupenda sana Mwanangu.

Nakupenda sana Mwanangu,

Nakupenda sana mwanangu.

Nakupenda.

Nakupenda sana, sana sana.

(lugha zisizo eleweka?)

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.