11. Utabiri aliopewa Raymond Aguilera, tarehe 6 Desemba 1990 kwa lugha ya Kihispania.
Mnisikilize! Mnisikilize!
Mnisikilize kwa masikio yenu.
Mnisikilize! Mnisikilize!
Mnisikilize! Wapendwa Wangu.
Mnisikilize! Mimi, Mungu Wenu
Nawapenda. Nawapenda.
Nawapenda. Nawapenda.
Mimi ni Mungu Wenu.
Mungu Wenu,
Mungu wenu.
Mungu wenu.
Mimi ni Mungu wenu.
Mnisikilize! Mnisikilize! Mnisikilize!
Mimi ni Mungu wenu. Mungu wenu wa Mbinguni.
Kuna vita Mbinguni sasa hivi
na Mwanangu anawapigania ninyi nyote.
Angalia juu. Angalia juu. Imeanza.
Vita vimeanza,
Wapendwa Wangu
Wapendwa Wangu
Wapendwa Wangu
Wapendwa Wangu
Mimi, Mimi, Mimi,
Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi
Angalia, Mwangalie Mungu ambaye ni Kristo,
Mungu
Kristo
Kristo
pamoja na Roho Mtakatifu
pamoja na Roho Mtakatifu,
pamoja na Roho Mtakatifu.
Aaa….Aaa…Vita vimeanza.
Vita vimeanza Wanangu, Wanangu
Tazama juu. Tazama juu Wanangu.
Imeanza. Imeanza.
Desemba 2, Desemba 2, Desemba 2.
Imeanza, Imeanza Jumapili,
Desemba 2, Desemba 2.
Kwa nini hamtaki kunisikia?
Kwa nini hamtaki kunisikia?
Kumetokea nini? Kumetokea nini kwa Wanangu?
Kwa nini hamtaki angalia juu?
Kwa nini hamuangalii juu?
Muda umefika, umefika.
Ah Warembo Wangu, Wanangu wa thamani.
Mimi, Mimi, Mimi,
Mimi Sielewi kumetokea nini kwenu!
Mimi sielewi kumetokea nini kwenu!
Nawapenda sana. Nawapenda sana
Nawapenda kwa Moyo Wangu wote.
Na inaelekea kuwa mmemkubali shetani.
Inaelekea kuwa mmemkubali shetani.
Na kama mmekubali shetani, Mimi nitalia.
Nitalia.
Nitalia.
Kwani Siku imewadia.
Kwani Walio Wema wataenda Mbinguni
Pamoja na Kristu, na Mimi,
Baba yenu, Baba yenu.
Sikia, Roho Mtakatifu anawaita..
Anawaambia pia,
Katika Mioyo yenu kile kinacho tokea.
Mniskilize!, Mnisikilize!
Harakisheni, Inukeni! Inukeni!
Mimi, Mimi, Mimi,
Mnahali gani?
Mnahali gani Wanangu?
Mnahali gani?
Sitaki kulia tena
Kwa kuwa poteza Wanangu.
Sitaki kumpoteza yeyote kati yenu.
Sitaki kumpoteza yeyote kati yenu.
Kwani nawapenda sana.
Nawapenda ninyi kwa Moyo Wangu wote.
Looh….Imewadia
Biblia imekamilika sasa mpaka tarehe ile.
Des. 2, Des. 2,
Soma Biblia.
Soma Biblia.
Mimi….Niliwaambia Ninyi na Baba
zenu pia
kuwa Siku inakuja
Des. 2, Des. 2, Des. 2, Jumapili.
Ni siku ya Sherehe.
Ni siku ya sherehe.
Ni siku ya sherehe.
Na ya Dunia
Na ya Dunia.
Kwani imefika.
Kwani imefika
na Mwanangu anapigana
na shetani Mbinguni
kwa vita vikali sana, vikali sana,
pamoja na Malaika
pamoja na Malaika.
Mimi ….. na Malaika.
Mikaeli, Mikaeli anamsaidia.
Mikaeli ana msaidia
kwani shetani,
kwani shetani anakimbia
Anataka kujificha,
Lakini Mwanangu anajua,
Mwanangu anajua yote.
Na Michaeli, na Michaeli anamsaidia
Yeye.
Anamsaidia sasa hivi
Na Mikaeli anafahamu yote pia.
Anajua lakufanya.
Kwani Mwanangu humwambia.
Anakwenda pale.
Anakwenda pale,
Njoo hapa
Njoo hapa
na Mikaeli anakuja,
Anakuja, Anakuja.
Anafanya kila anachoambiwa na Mwanangu.
Kwani Mwanangu, Mwanangu, Mwanangu wa thamani nyingi
Yote atakayo kwenda kufanya.
Yote atakayo kwenda kufanya.
Yote atakayo kwenda kufanya.
Iko kwenye Biblia.
Iko kwenye Biblia
Wote Mbinguni tulikuwa tukiingojea
Siku hii, Siku hii
Mimi sielewi kwa nini ninyi watu
Mnavichwa vigumu, vigumu namna hii
Ni aibu gani hii, kwani Nitakwenda kuwapoteza ninyi.
Nitawapoteza ninyi kama hamtanisikiliza Mimi!
Nitawapoteza ninyi kama Hamtanisikiliza.
Nitawapoteza ninyi.
Loo…Loo Kuna mashetani wengi
Kuna pepo wengi sana,
Kiasi kwamba nimechoshwa, Nimechoshwa
na mapepo wa Dunia hii.
Loo..Loo Kuna mashetani kila mahali
Mbele yako, kulia kwako,
Kushoto kwako, na nyuma yako.
Kuna mashetani kila mahali
Na kuna mashetani wengi kanisani.
Kanisani
Ah, ndiyo, kuna mashetani wengi kanisani pia.
Inawabidi, inawabidi
Kujichunga, inawabidi kujichunga
Kwani wapo hata kanisani.
Katika ngazi za juu za kanisa pia.
Wana mashetani,
Wana mashetani
Ngazi za juu za kanisa pia,
Wana mashetani
Wana mashetani
Inakubidi ujihadhari.
Inakubidi ujihadhari.
Kwani wanawaambia neno baya
Neno baya
Kwani wana mashetani
Wana mashetani, Wanangu.
Mjihadhari.
Mjihadhari
Kwani wao wanachotaka ni kila kitu
Wanataka kila kitu.
Wanataka watu wawatukuze wao.
Wanataka watu wawatukuze wao.
Kwani wao wanajiona kuwa ni Wakubwa sana.
Kwani wao wanajiona kuwa ni Wakubwa sana.
Lakini wao sichochote.
Wao sichochote.
Kwani nitakapomalizana nao.
Kwani nitakapomalizana nao.
Wataenda shimoni.
Wataenda shimoni.
Lakini inabidi mjihadhari.
Inabidimji hadhari
Kwani hao Wakuu watawapelekeni shimoni pia.
Ni aibu gani! Ni aibu gani!
Ni aibu gani! Ni aibu gani!
Mnisikie! Mniskie! Mnisikie!
Mimi pekee, Mimi pekee Baba yenu,
Baba yenu, Baba yenu
Na Malaika Mbinguni
Na Kristu wenu
Na Kristu wenu
Pamoja na Roho Mtakatifu
Mimi ni Baba yenu
Mimi ni Baba yenu
Na wafahamu Wakuu wa Kanisa
Ni wabaya kama wale wa siku za kale,
Ni wabaya kama wale wa siku za kale.
Hakuna kilichopita nisicho kijua.
Hakuna kitu nisichokijua.
Hakuna kilicho badilika.
Hakuna kilicho badilika
Ya siku za zamani,
Ya siku za zamani,
Ya mababa zenu wa zamani.
Ah ni aibu gani! ni aibu gani!
Yakuwa wale wa kanisa
Wakanisa, wa Mwili wa Kristu
Kwani walioko kwenye uongozi wa juu
Ni wabaya kiasi hicho.
Ni wabaya kiasi hicho.
Lakini siku ile imefika
Imefika
Ya Mimi kutumia Sheria, Sheria
na Mwanangu Yesu Kristu
Yesu Kristu, Yesu Krstu
Na Roho Mtakatifu
Na Roho Mtakatifu
Na Roho Mtakatifu
Ya kuwa naenda kunyoosha kila kitu.
Na kwenda kunyoosha kila kitu
Na kwenda kunyoosha kila kitu
Mnisikie Mimi, Mnisikie Mimi, weka masikio yako kwenye Neno
La Mungu
La Mungu
La Mungu
Na Kristo
Na Kristo
Na Kristo
Na Roho Mtakatifu
Na Roho Mtakatifu
Na Roho Mtakatifu
Kwani ngazi za juu ya Kanisa ni wabaya.
Ni wabaya.
Wana tumia ulimi mbaya mno,
Ulimi wa mnyama anayetambaa ardhini.
Ni uchafu ulioje,
Ulioko pale.
Ulioko pale.
Ulioko pale
Mnisikie! Mnisikie! Mnisikie!
Kwa nini hamnisikilizi Mimi?
Kwa nini hamnsikilizi Mimi?
Ah, wanaulimi wa nyoka,
Ulimi wa nyoka.
Ndiyo ngazi za juu za kanisa
Kuna wengi walio wazuri,
Kuna wengi walio wazuri,
Lakini kuna wengi walio wabaya
Walio wabaya
Walio wabaya
Wanaamini kuwa wao ni miungu.
Wanaamini kuwa wao ni miungu
Lakini hakuna Mungu, ila Mimi,
Baba yenu, Baba yenu wa Mbinguni
Pamoja na Kristu, pamoja na
Kristu, Pamoja na Kristu,
Na Roho Mtakatifu,
Na Roho mtakatifu,
Na pamoja na Roho Mtakatifu
Mimi ni Baba.
Nilikuwa hapa na Nilikuwa pale,
Na Nilikuwa hapa na Nilikuwa pale
Na Mimi niko hapa
Na Mimi niko hapa
Na Mimi niko hapa
Ah, ni aibu gani! Ni aibu gani!
Nisikieni, Nisikieni, nisikieni,
(ndimi/lugha isiyoeleweka?)
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )