12. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 6 Desemba 1990 katika Lugha ya Kiingereza.
Uhali gani? Uhali gani? Loo ni ajabu gani. Loo ni ajabu gani. Kwa kile hii Dunia inayoenda kuwa, ni kitu usichoweza kukiamini. Ndiyo bwana. Ni nini inaenda kuwa hii Dunia. Mimi sijui. Mimi sijui. Inaelekea Mimi najiongelea mwenyewe. Inaelekea hakuna mtu yeyote anayenisikiliza.
Hiyo ni sawa. Hiyo ni sawa. Kwa maana wale waliotakiwa wasikie watasikia. Na wale ambao hawatakiwi kusikia, hawatasikia. Ndiyo! Aidha unaenda kulia au unaenda kushoto. Haijalishi. Laahasha bwana. Kwa maana nawajua walio Wangu. Nawajua walio Wangu. Nawajua kila mmoja wao wa wale walio Wangu.
Naam kwa hakika! Naam kwa hakika! Wao ni wa Mwanangu. Wao ni wa Mwanangu, Yesu Kristo wa Nazareti, Yesu Kristo wa Nazareti,Yesu Kristo wa Nazareti. Naam, niliwapa hao wote kuwa wake. Niliwapa hao wote kuwa wake. Naam, Naam, Niliwapa hao wote kuwa wake.
"Je, hilo siyo jema". "Je, hilo siyo jema". Lile amabalo Baba anaenda kumfanyizia Mwanaye. Naam Naam, hilo ndilo nililolifanya. Niliwachagua wale walio bora sana, walio bora sana. Watakwenda pamoja na Mwanangu, hivi karibuni kabisa, hivi karibuni kabisa, hivi karibuni kabisa.
Hivyo ndivyo Baba walivyo, wanapo wapenda Wanawe. Wanapowapenda Wanawe, na Kristo Wangu, Yesu Wangu. Ndiyo, Wangu, Mwanangu wa pekee kabisa Yesu. Naam. Muhali gani? Muhali gani? Muhali gani? Kwa sababu kama ninyi hamjambo sasa ni kwanini humnisikilizi Mim? Oh....
Wajua, hapo zamani kulikuwapo mtu. Alikuwa mrefu. Alisimama amenyooka kwenda juu kabisa. Alikuwa ni Shujaa. Alikuwa Shujaa sana. Alikuwa mtu mzuri sana enzi zake. Wajua katika nyakati zake, siku nyingi, nyingi sana.
Huyu mtu aliniamini Mimi kwa moyo wake Wote, na Mimi ni liugusa moyo wake na yeye aliugusa Moyo Wangu, na huyu Shujaa mkuu alifanya matakwa Yangu, alifanya matakwa Yangu.
Siku zote alikuwa kwenye mashambulizi, alikuwa kwenye mashambulizi. Adui alimfanyia mambo mabaya sana, mambo mabaya sana. Ndiyo, alimpa vidonda. Alimwua Baba yake, mama yake, mke wake, na watoto wake. Lakini huyu shujaa kamwe hakuniacha Mimi, na kisha yule Mwovu, huyu Shetani.
Yule Shetani wa Dunia alimfanyia maovu zaidi, alimfanyia maovu zaidi. Alilia kwa maumivu. Alilia kwa uchungu, na hapakuwa na mtu yeyote wa kumsikiliza yeye. Hakuweza kupata amani popote, ila Kwangu Mimi. Mimi nilikuwa ndiyo Amani yake, kwa sababu Mimi nilikuwa ndiye Baba yake. Mimi nilikuwa Baba yake pamoja na Yesu Kristo na Roho Mtakatifu. Hakuwa na yeyote ila uchungu, mateso, na Mimi. Hakuwahi kuniasi Mimi. Hakuwahi kuniasi Mimi.
Hapana, alikuwa Shujaa Mkuu, Shujaa Mkuu. Shetani…..Shetani alimfanyia mambo mengi ya hiana. Alimfanyia mambo mengi ya hiana, lakini Mimi sikumwachia amwue. Hata kwa njia yeyote! Hata kwa njia yeyote, Baba asingelimruhusu amue. Shetani alitaka. Shetani alitaka, jinsi alivyo mbaya, lakini Mimi nilisema, nikaamuru, nikaagiza,
"Shetani, kamwe usimdhuru yeye. Mimi nilimwumiza kwa sababu nilikuruhuhusu umwumize. Unisikilize Mimi. Kamwe usije ukamua. Kwa sababu yeye ni mtu mwema. Moyo wake ni msafi. Moyo wake ni msafi, na ni msafi kabisa," na Shetani akasema, "Niachie nimwue, Niachie ni mwue yeye." Na Mimi nikasema, "Shetani simama nyuma Yangu. Simama nyuma Yangu wewe Shetani. Kwa sababu huyu ni Shujaa Wangu. Huyu ni Shujaa Wangu. Ameweza kuvumilia hiana zote. Yeye ameweza kuvumilia hiana zote kwa ajili ya Jina Langu."
Na Shuja Wangu, baada ya mashambulizi, baada ya mashambulizi, nilimfanya kuwa mzima. Nilimponya vidonda vyake. Nilimponya vidonda vyake. Shujaa Wangua alikuja kuwa na faraha, lakini bado alikuwa anakumbuka, akawa anacheka tu. Alipokumbuka naye akawa anacheka kwa ajili ya Baba yake, kwa ajili ya Baba yake.
Lakini alimwamini Baba yake, Yule Mimi Ndime Mkuu, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi. Lakini alimwamini Baba. Kila kitu kilienda vizuri, lakini bado aliweza kukumbuka yaliyopita. Na Mimi nilimzawadia. Nilimzawadia kwa ajili ya uaminifu wake. Ndiyo,
Alikuwa Shujaa Mkuu, Shujaa Mkuu, Shuja Mkuu sana. Mimi Ningelependa kuona Mashuja wa wengi zaidi wa aina hiyo. Ooh jinsi Mbingu ingelitukuka, kama nigeliweza kupata Mashujaa wa aina hiyo zaidi? Badala yake hakuna chochote pale chini kwenye Dunia, ila watu walio dhaifu, uchi, wenye kujigamba, watu wenye majivuno. Ambao wanajikweza mbele Yangu, na kuwaweka watu wengine mbele Yangu.
Oh, oh, Jinsi Mbingu ingelikuwa kama ningelikuwa na Mashujaa zaidi kama huyo. Huyu shujaa aliyekuwa karibu mno na Moyo Wangu. Oh, oh, Yesu Wangu, Yesu Wangu, Yesu Wangu, sitakupa lingine ila wale walio bora sana, walio bora tu.
Oh, Kumetokea nini? Kumetokea nini kwa Mashuja Wangu, Mashujaa Wangu? Oh, oh, Shetani ni Shetani. Anawavizia na kuwashambulia Mashujaa Wangu kutoka nyuma, wakati ambako wao hawajui. Anawashambulia kutoka pembeni. Wanakusanyana juu ya Shujaa Wangu mmoja, 500, 600, 8,000, hatakufikia 6,000,000 kwa Shujaa mmoja, kwa sababu wanajaribu kumteka.
Lakini Mashujaa Wangu ni imara. Ni imara. Wanauzungusha upanga ule. Wanaizungusha ngao ile. Wanawakata hadi wanakufa, na wanawakata, na wanawapeleka hadi kwenye shimo lile.
Wanakata, na wanauzungusha, Wanakata, na wanauzungusha katika Jina Langu, na Wanakata, na wanauzungusha, Wanakata, na wanauzungusha, na wanatumia ngao, na wanatumia ngao ile. Wanatumia ngao ile. Wanayo kofia ile. Wanayo kofia ile, na wanayo kofia ile. Wanayo diria zao kifuani mwao.
Ooh Ndiyo! Ooh ndiyo! Ooh ndiyo! Na Shetani anafahamu, na uwingi siyo hoja, kwa sababu Mashujaa Wangu ni imara. Wao ni imara. Wananyanyaswa. Wananyanyaswa. Wanayo ule upanga. Wanayo upanga ule. Hawakawii kuuzungusha. Wanauzungusha na wanakata, na wanaua na wanakata na wanaua.
Ndiyo! Ndiyo! Hao ndio Mashujaa Wangu wa kweli. Ambao wanasimama imara katika Neno lile. Ambao wanasimama imara katika Neno. Yasikilizeni Maneno Yangu. Angalieni Biblia. Angalieni ndani ya Biblia.
Ninyi nyote mliowadhaifu, ninyi wadhaifu angalieni ndani ya Biblia. Muwe imara. Muwe imara. Mjivike Silaha Zangu. Mjivike Silaha Zangu. Hiyo tu, ndiyo kinga pekee mliyo nayo. Hiyo ndiyo kinga pekee mliyo nayo ya kumpinga yule mwovu.
Mjivike Silaha Zangu, Silaha Zangu ziko pale. Ziko pale ndani ya Biblia. Ziko pale ndani ya Roho zenu. Vaeni Silaha zenu kila siku. Vaeni Silaha zenu kila siku. Kwa maana bila zile Silaha mwovu atawanasa. Yule mwovu atawanasa, na bila ya Silaha mtaanguka. Mtaanguka.
Mimi nawaonya. Huyu ni Baba yenu. Huyu ni Baba yenu, yule Mimi Ndimi Mkuu, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi. Vaeni Silaha Zenu. Vaeni Silaha zenu. Huo sio mchezo. Huo sio mchezo. Hili ni jambo la kifo. Hili ni swala la kifo. Hii ni vita. Hii ni vita.
Vaeni Silaha kila siku, kila siku Watoto Wangu. Yasikilizeni Maneno Yangu. Yasikilizeni Maneno Yangu. Yule mwovu, yule mwovu amewazingira, kila mahala, hata ndani ya Makanisa, hata kwa Wakuu wa Makanisa. Hee, Hee, hata Wakuu wa Makanisa ni Mashetani, ni Mashetani.
Mjihadhari, mjihadhari. Msisikilize kila kitu wanacho waambia. Kwa maana wanaongea kwa niaba ya Shetani. Wanaongea kwa niaba ya Shetani. Wanaongea kwa ndimi nzilizogawanyika. Wanaongea kwa ndimi zilizogawanyika. Sikilizeni Askari Wangu, Askari Wangu. Nyanyueni Silaha zile juu. Nyanyueni Silaha zile juu. Nyanyueni zile Diria ya Kifuani juu.
Ndiyo! Ndiyo! Ndiyo! Ndiyo! Kofia ya Wokovu iko pale, na kila kitu kingine unachokihitaji kiko pale ndani ya Biblia. Msiyumbishwe kwenda kulia. Msiyumbishwe kwenda kushoto.
Tafadhalini, tafadhalini, mjivike zile Silaha, zile Silaha. Kwa maana wale Waongo, wale Waongo, wale Waalimu wa Uwongo, wale Waongo wamewadieni sasa. Wamekuwa nanyi siku zote. Watawaleni ninyi. Watawaleni ninyi. Zaidi ya yote, zaidi ya yote mjihadhari na Wakuu wa Makanisa.
Mjihadhari, mjihadhari, mjihadhari, mjihadhari. Kuna wengi waliowazuri, wengi waliowazuri lakini kuna wengi walio wabaya. Moyo Wangu unalia. Moyo Wangu unalia, kwa jinsi Shetani alivyoweza kuingia Kanisani, kwani anataka kuua Mwili kutoka katikati. Anataka kuua Kanisa kutoka katikati. Anajaribu kuwatawanya Kondoo Wangu.
Lakini Mimi nitamkamata, nitamkamata, pamoja na wafuasi wake wote. Nitawakamata kila mmoja wao. Kwa hiyo Tubuni! Tubuni! Liangalieni Neno. Liangalieni Neno. Liangalieni Neno. Liangalieni Neno. Yule aliye Mtakatifu, Yule aliye Mtakatifu, Yule aliye Mtakatifu, Yule aliye Mtakatifu, Roho Mtakatifu ni Kiongozi wenu, ni Kiongozi wenu.
Mumsikilize Yeye. Msumikilize Yeye. Yeye atawalinda. Yeye atawalinda. Isikilizeni Neno, Isikilizeni Neno lile nililowapeni nyinyi miaka miaka mingi, mingi sana iliyopita kwa Baba zenu na kwa Baba wa Mababa zenu.
Kwa maana yule mwovu yuko hapo. Kwa maana yule mwovu yuko hapo. Yuko kila mahali. Yuko ndani ya Makanisa. Yuko kila mahali na huwezi kugeuka bila kumgusa yeye, lakini kwa Silaha zenu, kwa Silaha zenu, humwezi kuyumbishwa kwenda kulia au kushoto.
ZUNGUSHA UPANGA ULE!! ZUNGUSHA UPANGA ULE,!! kwa haraka na kwa nguvu na moja kwa moja! usijali unampata nani. Musijali unampata nani kwa sababu Mimi niko pamoja nanyi. Mimi niko pamoja nawe.
Yule Mwadilifu, Mwadilifu, Mwadilifu, Yule Mimi Ndimi Mkuu, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi. Mimi niko hapo, Mimi niko hapo, Mimi niko kati yenu. Mimi nitalinda Kundi langu. Mimi naenda kuwalinda Kundi Langu.
Sitampoteza hata mmoja. Sitampoteza hata mmoja. Kwa maana wewe uko mikononi Mwangu. Uko Mikononi Mwangu lakini sikilizeni Maneno Yangu. Yasikilizeni Maneno Yangu. Vaeni Silaha zile. Vaeni Silaha zile; kila siku. Vaeni silaha zile, kila siku.
Onyo, Onyo, Onyo. Msiwaangalie Wachungaji wenu. Msiwaangalie Wachungaji wenu. Wao ni waovu. Wao ni waovu. Mwangalieni Baba yenu Kwanza. Mwangalieni Baba yenu Kwanza. Yule Mimi Ndimi Mkuu, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi.
Huyu ni Baba yenu. Huyu ni Baba yenu anaongea. Huyu ni Baba yenu anaongea. Kuna Wachungaji wengi wenye ndimi zilizo gawanyika. Wana majigambo na ubinafsi mwingi, kujikweza kwingi.
Wanatafuta mahala pakujipatia sifa na kujikweza. Wanatafuta mahala pakujipatia sifa na kujikweza. Wanapenda fedha. Wanapenda vyeo. Wanapenda vyeo. Mimi nitawahukumu. Watapata adhabu iliyo mbaya, mbaya, mbaya sana.
Kwa maana waliwayumbisha Watu Wangu watoke kwenye njia. Waliwayumbisha Watu Wangu watoke kwenye njia. Waliwatongoza Wanawake Wangu, na waliwatongoza Wanaume Wangu kimapenzi, kifedha, na kiroho.
Ah, ah, ah, Ole kwao, ole kwao, kwa sababu ya Hasira Yangu. Hasira Yangu haita mbakiza hata mmoja wao. Nitawahukuma wao. Nitawahukumu wao.
Ah, ah, kama watazijutia, watazijutia, na kutubu dhambi zao, Mimi nitawaokoa wao, nitawaokoa wao. Kwa maana Mimi pekee ndiyo njia. Mimi pekee ndiyo njia ya uadilifu, kwa wale watakaoamua kuziba masikio yao. Wale watakaoamua kuziba masikio yao. Hasira yangu itakuwa juu yao hadi Shimoni, hadi Shimoni, Shimoni, Shimoni.
Yasikilizeni Maneno Yangu Watakatifu Wangu, Malaika Wangu, Watu Wangu. Yasikilizeni Maneno Yangu. Yasikilizeni Maneno Yangu. Mimi ndiye Ukweli. Mimi ndiye Ukweli. Mimi ndiye Ukweli. Kwa maana Siku imewadia. Siku ya kutoa Hesabu imewadia. Siku ya kutoa Hesabu imewadia.
Mnisikilize Mimi PEKEE. Msimsikilize mwingine ila Baba yenu, Baba yenu, Yesu Kristo. Yesu Kristo na Roho wenu Mtakatifu, na Roho wenu Mtakatifu kwa maana bila ya wao ninyi mhataambua kitu. Hamtaambua kitu ila Shimo, ila Shimo, na Shimo ni kubwa, pana, na ni kirefu, kirefu sana.
Oh Watoto Wangu, Watoto Wangu saidieni Mwili wa Kristo. Saidieni Mwili wa Kristo ukue. Msipigane wenyewe kwa wenyewe. Msipigane wenyewe kwa wenyewe. Pendaneni Ninyi kwa ninyi. Wapendeni adui zenu. Wapendeni adui zenu.
Watoto Wangu, Mwili wa Kristo ni Mkubwa, ni mkubwa, lakini ukilinganishwa na wa mwovu ni mdogo. Ni mdogo. Msiogope wakati ninaposema ni mdogo, kwa maana mdogo kwenu siyo sawa na mdogo Kwangu. Kuna wengi, wengi sana watakao kwenda kuokolewa, wale ambao hatakumjua Yesu leo bado hawajamjua.
Kuna maelfu mengi, mengi, mengi, na mamilioni, na mamilioni, na mamilioni juu ya mamilioni za roho hapo, ambazo zitakuja kuokolewa, na ambao hivi sasa hata ile kumjua Yesu bado hawajamjua. Wengine hata ile kuzaliwa bado hawajazaliwa. Yasikilizeni maneno Yangu. Yasikilizeni maneno Yangu. Kaeni kwenye njia ya Uadilifu. Kaeni kwenye njia ya Uadilifu.
Kwa maana vita vimeanza. Vita vimekuja, vita vimekuja, Jumapili, Desemba 2, 1990. Kumbukeni tarehe hiyo. Kumbukeni tarehe hiyo kwa sababu hiyo ni siku ya kwanza ya vita, vimeanza. Vimeanza.
Ambako nilimnyang’anya, Niliunyang’anya Mlango, Niliunyang’anya Mlango wa kwenda Kuzimu kutoka kwa Shetani. Niliunyanganya Mlango. Milango yote tisa, ah, nilizifunga. Nilizifunga.
Sasa Shetani ni wa hewani. Sasa Shetani ni wa hewani. Kwa sababu hana mahala pa kupumzishia kichwa chake. Hana mahala pa kupumzishia kichwa chake. Kwa maana nguvu zake zimenyakuliwa kutoka kwake. Ah, Ah, yote katika siku mmoja. Yote katika siku mmoja.
Kwa maana Siku hii ni Siku ya Sherehe. Ni Siku ya Karamu, ni siku ya Shereko Shereko. Ni siku ya Karamu. Ah, Yasikilizeni Maneno Yangu. Vaeni Silaha. Vaeni Silaha. Wapendwa Wangu, Wapendwa Wangu, Kondoo Wangu wa Kiume, Kondoo Wangu wa Kiume, Kondoo Wangu wa Kike, Kondoo Wangu wa Kike, vaeni Silaha. Vaeni Silaha. Vaeni Silaha.
Ah, Mimi ndiye Baba. Mimi ndiye Baba. Mimi ndiye Baba. Yasikieni Maneno Yangu. Yasikieni Maneno Yangu, na MANENO YANGU TU. Fungueni Masikio yenu. Fungueni Masikio yenu. MSIKILIZENI BABA TU, na wala si mwingine, ila Baba mwachieni awaongoze. Mwachieni awe Kiongozi wenu.
Sitawaangusheni ninyi. Sitawaangusheni ninyi. Kwa maana mtu ni mwovu. Kwa maana mtu ni mdanganyifu. Mtu, Mtu ni njia ya kwenda kwenye Shimo. Mtu ni njia ya kwenda kwenye Shimo. Mnisikilize Mimi. Fungueni Macho yenu. Fungueni Masikio yenu. Baba, Mwana, Roho Mtakatifu ndio njia.
Msigomabane ninyi kwa ninyi. Msigomabane ninyi kwa ninyi. Makanisa ni lazima yashikamane pamoja. Makanisa ni lazima yashikamane pamoja katika umoja, katika umoja, kwani mmezingirwa.
Mmezingirwa, juu na chini, kwa upande wa kushoto na wa kulia, kwa upande wa Kaskazini, na kwa upande wa Magharibi, na kwa upande wa Mashariki, na kwa upande wa Kusini. Adui zenu wako kila mahali kuwazunguka. Inawabidi mshikamane pamoja. Inawapidi mshikamane pamoja.
Hili ni Neno la Baba yenu. Hili ni Neno la Baba yenu. Kwa maana mambo, mambo ya takuja kubadilika na kuwa mabaya zaidi. Hayatakuja kuwa afadhali. Yatakuja kuwa mabaya zaidi. Kwa hiyo vaeni Silaha zile za Mungu leo. Kila Siku lala na huku mkiwa mmevaa Silaha zenu. Mmevaa Silaha zenu.
Someni Neno. Someni Neno. Mimi ndiye yule Mimi Ndiye…..Mimi ndiye yule Mimi Ndiye, Mimi ndiye yule Mimi Ndiye, yule Mimi ndiye, Mimi Ndiye, Mimi Ndiye. Mimi Ndiye yule Mimi ndiye, Mimi Ndiye, Mimi ndiye, Mimi Ndiye. Yasikilizeni Maneno Yangu. Mimi Ndiye yule Mimi Ndiye, Mimi Ndiye, Mimi Ndiye, Mimi Ndiye, Mimi Ndiye. Mimi Ndiye, Mimi Ndiye, Mimi Ndiye, Mimi Ndiye. Ah Mimi Ndiye, Mimi Ndiye, yule Mimi Ndiye.
Vaeni Silaha. Vaeni Silaha, Watoto Wangu, Kondoo Wangu wa Kiume, Kondoo Wangu wa Kike. Oh, Ninavyo Wapendeni. Ninavyo Wapendeni. Sitataka kumpoteza hata mmoja wenu yeyote. Sitataka kumpoteza hata mmoja wenu yeyote.
Ebu tubuni tu. Tubuni. Ungameni dhambi zenu. Mimi nitasamehe kila kitu, kila kitu. Msione aibu! Msione aibu!
Nitasamehe chochote, chochote. Haijalishi, kwa sababu wakati unapofungua Moyo wako kwa Baba yako, utakuwa umefungua Moyo wako kwa Baba, na Yeye anao Upendo wote wa Dunia. Atasamehe kila kitu.
Nawataka muwe Mbinguni pamoja na Mimi. Nawataka. Nawataka. Nawataka mje Mbinguni. Oh, Oh, watu tafadhalini, fungueni Mioyo yenu, tubuni, tubuni, tubuni. Oh, Silaha za Mbinguni, Silaha za Mbinguni, Silaha za Mbinguni, Silaha za Mbinguni.
Huyu ni Baba yenu. Yule Mimi Ndiye, Mimi Ndiye, Mimi Ndiye, Yule Mimi Ndiye, Mimi Ndiye, Mimi Ndiye. Nawapendeni. Nawapendeni kwa Moyo Wangu. Mwanangu anawapendeni kwa Moyo Wake wote, Yesu Kristo wa Nazareti, Yesu Kristo wa Nazareti, Yesu Kristo wa Nazareti, Roho Mtakatifu, Roho Mtakatifu, Roho Mtakatifu. (Lugha isiyoelekweka?)
Wimbo katika Lugha ya Kihispaniola.
Upendo, Upendo. Oh, Mpendwa Wangu. Oh, Mpendwa Wangu. Ndiyo, Mpendwa Wangu, Mpendwa Wangu, Oh, Mpendwa Wangu. Ah Ah, Mpendwa Wangu. Uhali gani? Mpendwa Wangu. Uhali gani? Mpendwa Wangu, Mpendwa Wangu wa dhamani. Oh, Mpendwa Wangu. Mpendwa Wangu wa dhamani Oh. Ah Mimi, Mimi, Mpendwa Wangu wa dhamani. Uhali gani? Uhali gani? Uhali gani? Oh ndiyo, Ah Oh, Mpendwa Wangu. Mpendwa Wangu. Uhali gani? (Lugha isiyo eleweka?)
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )