13. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 6 Desemba 1990 katika Lugha ya Kihisapaniola
Mnahali gani? Mnahali gani? Je, mnendeleaje, Wanangu wa Kiume na wa kike? Wanangu wa Kiume na wa Kike je, mna hali gani? Huyu ni Baba yenu. Huyu ni Baba yenu. Oo vipi mambo yanaendaje? Vipi mambo?
Loo, hivi mlisoma Biblia? Mlisoma Biblia leo? Aah, kwanini? Kwanini hamkusoma Biblia leo? Oo, inawabidi muisome. Inawabidi muisome kila siku, kwa maana pale ndipo palipo na Neno Langu, Neno Langu lililo nyooka, Neno lililo nyooka. Oo, someni Biblia,. Someni Biblia Wanangu wa Kiume. Someni Biblia Wanangu wa Kiume nawa Kike
Ndiyo, Ndiyo Wanangu wa Kiume na wa Kike, Mimi niko hapa. Mbinguni na ndani ya vifua vyenu na ndani ya vifua vyenu. Huyu ni Baba yenu.
Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi, Wanangu wa Kiume na wa kike muda umewadia. Umewadia Wanangu wa Kiume na wa Kike.
Oo, Nawapendeni sana. Nawapendeni sana kwa Moyo Wangu wote. Nawapendeni kwa Moyo Wangu wote. Ndiyo, ndiyo, kama ninavyo waambia yote yaliyotokea, yote yaliyotokea.
Oo, Mbinguni, Kristu anapambana na shetani. Ndiyo dakika hii. Dakika hii na Malaika wote, na Malaika wote. Anapambana nao. Anapambana. Kuna mamilioni, mamilioni, mamilioni ya mashetani, lakini Mwanangu yuko pale. Mwanangu anaenda kushinda.
Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mjiweke tayari. Muwe tayari kwa maana muda umewadia muda umewadia. Ndiyo, ndiyo, Mwanangu wa Kiume, wa Kike.
Ndiyo, Nawapendeni sana. Nawapendeni sana. Nawapendeni kwa Moyo Wangu waote, kwa Moyo Wangu wote.
Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi!, Wanangu wa Kiume, Wanangu wa Kiume, Wanangu wa Kiume.
Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi, Wanangu wa kiume.
Loo, Loo, Loo, Nawapendeni mno. Nawapendeni Mno. Ndiyo, Nawapendeni. Nawapendeni sana. Nawapendeni sana Nawapendeni sana. Mimi ni Baba yenu. Mimi ni Baba yenu. Mimi ni Baba yenu. Mimi ni Baba yenu,
Oo, ndiyo, pamoja na machozi, pamoja na machozi machoni mwangu. Kwa ajili ya wale nitakaowapoteza, kwa maana naenda kuwa poteza. Kwa maana hawakunisikiliza Mimi. Hwakuni sikiliza Mimi. Hawakuni ona, na wala hawakuni ona Mimi.
Ni aibu gani hiyo! Ni aibu gani hiyo! Mimi niko pale. Niko pale mbele yenu. Ndiyo, ebu niguse Mimi. Nikuse Mimi kwa mikono yenu, kwa mioyo yenu, kwa mawazo yenu.
Oo, Oo, Oo, Mniguse mimi! Mniguse Mimi! Ndiyo! Ndiyo! Ndiyo! Mimi ni Upendo wote. Mimi ni Upendo wote.Mimi ni Upendo wote.
Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi, Mimi ni Upende wote, Upende, na uadilifu, na Uadilifu. Oo, Oo, Oo, Mnisaidi Mimi. Mnisaidie Mimi. Mnisaidie Mimi.
Waambie ndugu zenu wote wa Kiume na wa Kike. Waambieni, Waambieni ndugu zenu wa Kiume na wa Kike. Vita vimeanza. Vita vimeanza, vita vya Dunia na vita vya Mbinguni, na Kristo wenu, na Kristo wenu anapigana. Kwa ajili kile kilicho chake, kwa ajili ya kile kilicho chake.
Nilimpa yote yale yaliyo Mazuri, yote yale yaliyo Mazuri. Ndiyo, Anawapigania ninyi. Anawapigani ninyi. Kwa maana anawapendeni ninyi. Anawapendeni ninyi sana, kwa Moyo wake wote. Haachi iwe usiku au iwe mchana. Haachi kupigana akiwa na Malaika wake kwa siku zote mchana na usiku.
Anapigana, pigana, pigana. Kwani tumeanza kushinda. Tumeanza kuwapata Watakatifu wote, Watakatifu wote wa duniani.
Oo, oo, Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Minisikilize Mimi! Waambie Wanao wa Kiume, waambie Wanao wa Kike, Kaka zako, na Dada zako, na Baba zako, na Mama zako. Kwa maana siku imeanza, siku imeanza.
Mniite Mimi! Mniite Mimi! Mniite Mimi kwa maana nipo hapa. Niko hapa kama mnataka kuwaona ndugu zenu, na dada zenu Mbinguni. Loo, inapidi muwaambie ukweli. Inawabidi kuwaambia ukweli.
Kwa maana tarehe imeanza. Tarehe ya Biblia, tarehe ya Biblia. Mnisikilize! Mnisikilize! Muwaambie kaka zenu na dada zenu. Ndiyo, msipigane. Msipigane kwa sababu Mimi niko hapo nikiwa nawatafuta. Msipigane, nyote niwabidi mfanye kazi kwa pamoja.
Ninyi nyote inawabidi mfanye kazi pamoja. Kwa maana kuna Mwili MMOJA tu wa Kristu. Kwa maana kuna Mwili MMOJA tu wa Kristu. Kuna Mwili MMOJA tu wa Kristu katika Biblia ya Kanisa. Kuna Mwili MMOJA tu wa Kristu.
Inawabidi, inawabidi, inawabidi mfanye Amani. Inawabidi mfanye Amani na ndugu zenu na dada zenu. Inawabidi. Inawabidi muwe na Upendo. Inawabidi muwe na Upendo kwa kila mtu, kwa kila mtu, wale walio wagonjwa, na kwa wale walioko magerezani…
Oo ndiyo!... Inawabidi muwapende na wale walio kufa pia. Ndiyo, inawabidi muwapende pia. Kwa maana kwa bahati, kuna nafasi, wanaweza kwenda, wanaweza kwenda, wata kwenda. Wanaweza kuokolewa.
Harakisheni! Salini, Salini, Salini kwa mioyo yenu yote. Sasa hivi! Msipumzike kusali. Angalieni ndani Biblia. Kila unachotaka kujua kipo humo ndani, na kitawa saidia ninyi. Roho Mtakatifu, Roho Mtakatifu atakwenda kuwasaidia.
Someeni (unabii huu) kwa kila mtu. Someeni kwa kila mtu. Naam na Msali, Salini kila siku. Salini asubuhi. Salini usiku. Salini mchana.
Naam, kwa njia hiyo itanipa Mimi furaha. Itanipa Mimi furaha nyingi. Huyu ni Baba yenu. Huyu ni Baba yenu. Huyu ni Baba yenu. Loo inanipa furaha kuu, wakati unapo soma Biblia. Ndiyo, Ndiyo. Huyu ni Baba yenu.
Someni Biblia. Someni Biblia kwa maana kuna kila kitu kilicho nyooka, kilichonyooka, kilicho nyooka. Pamoja, pamoja someni pamoja, pamoja, pamoja.
Kwa maana jinsi, jinsi, jinsi mnavyo soma pamoja, rndivyo Mimi nitakavyoweza kuwa sikilizeni ninyi. Jinsi hivyo hiyo nitakavyoweza kuwa sikilizeni zaidi, lakini msipigane, msipigane.
Harakisheni, tafadhali harakisheni. Someni, Someni Biblia. Msipigane. Msipigane.
Aah, Aaah, Ah, jihadharini kwa maana shetani naye Yuko pale pia. Shetani naye yuko pale makanisani. Pale unaposoma Biblia. Yuko pale pia.
Anajua Biblia vizuri sana pia. Anaijua kutoka mwanzo hadi mwisho, kutoka mwanzo hadi mwisho, na kutoka mwisho hadi mwanzo, kutoka mwisho hadi mwanzo. Anaijua. Anaijua kwa uhakika. Ooh ndiyo, yeye ni msomi sana. Yeye ni somi sana.
Lakini yeye hajui uadilifu. Yeye hajui uadilifu. HAPANA! HAPANA! Lakini ninyi mnajua Uadilifu. Ninyi mnajua Uadilifu.
Harakisheni, vaeni makoti yenu ya kinga. Vaeni makoti ya kinga ya Mungu. Vaeni makoti ya kinga ya Mungu. Kwa maana Mungu ni namna, na uhai wa kila kilichoko kwenye Mwanga, kwenye Mwanga huko Mbinguni, huko Mbinguni.
Mnisikie! Vaeni makoti. Vaeni makati. Vaeni kofia ya Mungu. Vaeni kofia za Mungu.
Ndiyo, ndiyo. Aah, na upanga, upanga wa Mungu pia, muutumie wanangu. Muutumie, kumkatani shetani. Mkateni shetani. Mkateni kichwani. Mkateni mwili wake. Mkateni sehemu zake zote.
Aah, inawabidi mji kinge wemyewe, mjikinge wenyewe. Oh ndiye inawabidi mjikinge wenyewe. Kwa maana hakuna mwingine atakaye wasaidia, ila Roho Mtakatifu, na Mungu, NA Mimi Baba yenu, na na Mwili wa Biblia, na Mwili wa Kanisa sisi sote pamoja, sisi sote pamoja, tunaenda, Mbinguni, Mbinguni pamoja na Mwanangu, pamoja na Mimi na Roho Mtakatifu.
Ooh, tunakwenda kufurahi. Tunakwenda kufurahi sana kwa sababu tulishinda, kwa sababu tumeshinda, kwa sababu tumeshinda, kwa sababu tumeshinda.
Mniskie Mimi! Mnisikie Mimi! Ndiyo, Mnisikie Mimi Wanangu wa Kiume na wa kike. Oh niniyi ni wa dhamani sana, ninyi ni wa dhamani sana kwangu.
Harakisheni, pigana, pigana na shetani. Msiogope, Mmeshinda. Mmeshinda. Mmekwisha shinda kwa hiyo msiogope. Aah tumieni msumeno. Tumieni upanga. Tumieni kila kitu mnachotaka kutumia kwa maana mmekwisha shinda. Mmekwisha shinda. Mmekwisha shinda vita.
Inabidi mjihadhari kwa maana shetani anataka kuwa tafuna. Anatakakuwa tafuna. Anatakakuwa tisha. Anataka kuwa ogopesha, lakini kama mnataka kujiokoa. Msome Biblia. Msome Biblia.
Ndiyo, Neno la Mungu, Neno la Mungu litakwenda kuwa okoeni ninyi. Aah ndiyo, Neno, Neno la Mneno, Neno la Maneno la Maneno. Ndiyo, ni Neno Langu, Neno Langu kwa maana Mimi ni kila kitu. Mimi ni kila kitu kilicho nyooka, kila kilicho jema, Kila kilicho jema.
Aah, ndiyo, Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Aah, huyu ni Baba wa Yesu. Baba wa Yesu. Inabidi mnisikilize Mimi! Kwa maana siwezi kuwa saidia kama ninyi hamtajitasaidiwa wenyewe. Inabidi ninyi mjisaidie wenyewe. Inabidi mjisaidie wenyewe.
Ooh, inabidi mtumie akili zenu, na Roho Mtakatifu atakwenda kuwa saidia ninyi, lakini inabidi mfaye wenyewe, kwa akili zenu, na kwa mioyo yenu na kisha Roho Mtakatifu atakuja kwenu. Mniksikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! (lugha isiyoeleweka?)
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )