14. Unabii aliopewa Raymond Aguilera kuanzia tarehe 15 Desemba 1990 hadi 1 Januari 1991 katika lugha ya Kiingereza, Kihispaniola na katika Lugha isiyoeleweka.

Ooh Wangu, ooh, ooh Wangu una hali gani, Mna hali gani Wanangu, Sherekoshereko, Sherekoshereko, Vita vimeanza. Tvita vimeanza.

Sherekoshereko,Sherekosheroko, Malaika wanacheza dansi. Parapanda imelia. Ndiyo, Sherekoshereko, Sherekoshereko.

Vita vimeanza, vimeanza Mbinguni, Mbinguni, miujiza, miujiza Mbinguni. Tazama, tazama, tazama miujiza mingi.

Ooh Wangu, ooh, ooh Wangu Sherekoshereko kubwa Mbinguni, Ndiyo! Furahini, furahini, furahini, Sherekoshereko kubwa, sherekoshereko kubwa.

Ooh Wangu, Ooh, Ooh Wangu imba, imba, Cheza dansi! Cheza dansi! Cheza dansi! Sherekoshereko! Sherekoshereko! Sherekoshereko! Sherekoshereko! Malaika wanapigana Na wanasherehekea pati, wanashereheke pati na wanapigana.

Sherehe! Sherehe! Sherehe! Ooh ni sherehe kubwa ilioje. Furaha kubwa! Furaha kubwa! Furaha kubwa! Fanyeni haraka mcheze dansi! Cheza dansi! Vaeni viatu vyenu mcheze na mcheze dansi, chezeni dansi kwa muziki, muziki. Kwa maana Parapanda ya Mbinguni imeanza vita, vita, vita vya Mungu, vita vya Mungu.

Ndiyo! Ndiyo! Vimeanza na Yesu, Yesu. Ndiyo vita, vita vimeanza. Ooh Wangu, ooh, ooh Wangu, harakisheni, Harakisheni. Mnisikilizeni Mimi! Mnisikilizeni Mimi, Tubuni! Kwa ajili ya dhambi zenu, kwa ajili ya dhambi zenu, kwa ajili ya dhambi zenu.

Mwitieni Yesu, Mwitieni Yesu kwa ajili ya dhambi zenu; kwa ajili ya dhambi. Ndiyo, vimeanza. Vita vimeanza.

Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Vimeanzisha vita, vita! Mwambieni Yesu madhambi yenu, madhambi yenu. Tubuni, Tubuni, Tubuni. Yeye atawasikiliza ninyi! Atawasikiliza ninyi! Kama mnataka kujiokoa ninyi, kamamnataka kujiokoa ninyi! Ooh ndiyo, kama hamtaki kwenda Shimoni, kama hamtaki kwenda shimoni, muokoe nafsi zenu! Muokoe nafsi zenu! Muokoe nafsi zenu!

Cheza dansi, cheza dansi, chezeni dansi ni furaha ilioje, ni furaha ilioje, vita vimefika, vita viko hapa Mbinguni, hapa Mbinguni!

Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Huyu ni Baba yenu. Huyu ni Baba yenu. Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Hii ni sherehe, Sherehe ya Mbinguni, ya Mbinguni, Sherehe! Cheza dansi, Cheza dansi!

Parapanda ya Mbinguni imeanza kulia! Mnisikilie Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Ni sherehe. Ni sherehe! Ndiyo ni Sherehe! Ndiyo! Cheza dansi! Cheza dansi!

Ooh Wangu, ooh, ooh Wangu je mabayo vipi Ndugu? Je, vipi mambo ndugu?

Ooh Wangu, Ooh Wangu. Je, umenisikiliza Mimi? Nilikwambia habari ya Sherehe, Nilikuambia habari ya Sherehe.

Ooh Wangu, Ooh Wangu safisha masikio yako, safisha masikio yako Mimi nina Sabuni nyingi, Sabuni nyingi Sabuni nyingi ili usafishe masikio yako! Kwanini? Kwanini? Kwa sababu Mimi nataka uje Mbinguni.

 

Kwanini? Kwa sababu ninakupenda. Ninakupenda sana kwa Moyo Wangu wote. Ndiyo, ndiyo, ninakupenda kwa Moyo Wangu wote.

Lakini inakubidi usafishe masikio yako. Kuna sabuni, kuna sabubuni! Na sabuni yenyewe ni Roho Mtakatifu. Roho Mtakatifu ni sabuni tyako. Ni sabuni yako Uitume. Safisha masikio yako, safisha masiko yako!

Sabuni, Sabuni, Roho Mtakatifu, mtumie! Mmtumie! Mmtumie! Je niwaambie nini cha zaidi!

Je wewe ni kipofu? Wewe ni kipofu? Ooh Mwanangu, inabidi nikupe miwani ya kuona, inabidi nikupe miwani. Na miwani yenyewe ni Roho Mtakatifu! Roho Mtakatifu ni Miwani Yangu! Roho Mtakatifu ni Miwani Yangu.

Harakisha! Uyavae, uyavae iliupate kuona, iliuweze kuona sawa sawa, iliupate kuona sawasawa, kwa sababu hicho pekee ndicho ulicho nacho ili uweze kuona, Hicho pekee ndicho ulicho nacho iliupate kuona.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.