15. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 15 Desemba 1990 hadi 1 Januari 1991 katika lugha ya Kiingereza, na lugha isiyo eleweka.

Unabii katika Lugha ya Kiingereza:

Baba, Baba, Baba, Baba, Baba wa Mbinguni, wa Mbinguni wa Mbinguni wa Mbinguni. Baba, Baba wa Mbinguni, wa Mbinguni, wa Mbinguni pamoja na Mwana, pamoja na Mwana, pamoja na Mwana, Na Mwana na Roho Mtakatifu, na Roho Matakatifu.

Ah, Mungu wangu, Mungu wangu, Mungu wangu Tupo hapa tena. Bwana, Tupo hapa tena! Ndio, ndio, ndio! Bwana, tupo hapa tena! Oh, Bwana tupo hapa tena!

Sasa, unataka nikuambie nini sasa? Unataka nikuambie nini sasa? Ah, Mungu wangu, Mungu wangu, Mungu wangu Oh, Mungu wangu, Mungu wangu, Mungu wangu Bwana, Ninachoka kuongea nawe! Ninachoka kuongea nawe. Lakini nafanya yanipasayo kufanya, Bwana, kwa kukuambia tu, kukuambia!

Acha nikupe historia fupi. Acha nitoe historia fupi ya kilichotokea siku za kale, katika siku za kale. Unajua mengi, mengi, miaka mingi iliyopita, mingi, mingi, mingi, miaka mingi iliyopita zamani. Palikuwa na mtu, jina lake aliitwa Yona. Ndio, Yona alifanya mambo mengi, alifanya mambo mengi. Mwanamme! Lakini alikuwa na matatizo na Alikuwa na dhambi na alikuwa na mambo mengi , lakini wafahamu, wafahamu, Alijitahidi na alijitahidi,na alijitahidi. Mwanaume, oh mwanaume! Alifanya mambo "Kaba kaba" . Alifanya mambo "Kaba kaba" .

Umewahi kusoma Biblia kuhusu Yona? Huh, umewahi kusoma Biblia kuhusu Yona? Oh! Huyu mwanamme alikuwa kitu fulani. Oh ndio, Alikuwa kitu fulani, Oh mwanamme, alikuwa kitu fulani. msikilize.MsikilizeYona. Msikilize Yona. Yona anayo mengi ya kusema, na yapo kwenye Biblia, kwenye Biblia.

Naam, naam, Mimi sipendi kukuambia kila kitu kwa sababu kama nitakuambia yote wewe huta jifunza. Inakubidi uweke juhudi. Inakubidi uwajibike. Inakubidi wewe ukifungue Kitabu hicho. Inakubidi ukifungue Inakubidi kufungue kurasa zake na inakubidi uzisome. Inakubidi usome kuhusu Yona. Yona, ooh ndiyo!

Soma habari za Yona. Yona ni Kitabu kizuri sana, sana, sana, ni Kitabu kizuri sana, ni kitabu kizuri sana. Naam. Naam. Nampenda Yona. Nampenda Yona. Aah hiyo kidogo ni ya kuhusu historia. Hiyo kidogo ni ya kuhusu historia. Wewe waweza kusema "Ooh yah, hilo siyo lolote la maana," lakini hiyo ni sawa, hayo ni yote nitakayokuambia wewe. Hayo ni yote niliyo taka kukuambia wewe, kama ningelitaka kukuambia zaidi, Mimi ningelikuambia hadithi yote, lakini Mimi sitaki.

Mimi nataka wewe uchukue Kitabu kile na Mimi nataka ukisome. Nami nataka ukisome tena na tena na tena na tena zaidi hadi hapo utakapokuwa unaota kuhusu habari zake. Kuna habari nzuri nyingi humo ndani mwake. Habari "kabakaba", "kabakaba", nzuri nyingi ndani mwake. Ooh ndiyo, ndiyo kwa sababu kama nitaendelea kukuambia, Mimi nitamchosha huyu Ray mdogo. Binadamu, Mimi nitamchosha yeye kama Mimi nitaendelea kumweleza, kumweleza. Kwa hiyo, kama nitakuambia kuhusu kitabu chote cha Yona. Kijana, Ray atanikasirikia. Mwanadamu! Yeye atanikasirikia Mimi. Ooh ndiyo. Yeye anasema koo lake limeanza kutoa malengelenge tayari. Mwanadamu koo lake lina malengelenge.

Kwahiyo ebu nisaidie, soma kitabu cha Yona kwa ajili ya Ray. Soma kitabu cha Yona kwa ajili ya Ray. Aah, yeye atakupenda kwa kufanya hivyo. Kwa uhakika atapenda hivyo. Kwa uhakika atapenda…na Mimi nitakupenda wewe kwa ajili hiyo, Nami nitakupenda kwa hilo. Ooh ndiyo. Ooh ndiyo. Kwa sababu, Mimi nadhani Ray hawezi kukufanyia.

Sawa! Ngoja nikuambie, ngoja nikuambie Kitabu kingine cha kusoma. Aah ndiyo! Unajua kile kitabu cha Ezekia, kile Kitabu cha Ezekia. Naam, inamambo mengi mazuri sana humo ndani mwake. Ooh ndiyo! Inakubidi ukijifunze kwa bidii hatahivyo, inakubidi ukijifunze kwa nguvu, kile Kitabu cha Ezekieli ni kitu kingine.

Ooh Wangu, unajua kuwa, Kitabu kingine ambacho kwa kweli ni kizuri sana? Ray amekuwa akikisoma. Naam, ni cha Isaya, Isaya, Isaya. Hum ndiyo. Mimi ninampenda Isaya. Hum... busara nyingi, busara nyingi. Naam, naam!

Inakubidi usome Vitabu hivyo vyote, na usome pia katikati ya mistari (utafakari maana yake). Na kama utamwuliza Roho Mtakatifu kabla huja soma, Yeye atakuambia ni yapi mabaya na yapi ni mazuri; kwa hiyo kumbuka. Omba…Omba kabla ya kusoma Vitabu hivyo. Wewe omba, wewe omba iliupate hekima. Wewe omba kwa ajili ya maarifa. Wewe omba kwa ajili ya hekima na uombe kwa ajili ya kupata maarifa, Wewe omba kwa ajili ya hekima na uombe kwa ajili ya kupata maarifa na Roho Mtakatifu atakuambia, atakuambia.

Ooh mwandamu, mara kinapoanza kukuingia wewe, Kijana! Hutataka kukiweka kitabu hicho chini. Kila usiku, kila usiku utapenda kukisoma. Kila siku hutapenda kwenda kazini, yote utakayo penda kufanya itakuwa ni kukisoma na kuijifunza na kuijifunza, kwa sababu Roho Mtakatifu yuko ndani mwako, lakini inakubidi ufanye hivyo kwa moyo wako. Moyo wako inabidi uwe wazi. Naam, inbidi uwe wazi.

Kwa maana Mimi nadhani Ray hawezi kufanya zaidi kama itambidi aseme Kitabu chote kwa ajili yako. Loo hapana….Kijana! midomo ya Ray tayari imeanza kupata malengelenge, na koo lake imeanza kuchoka. Aah, inatubidi tutumie kile ambacho lazima tukitumie. Kwahiyo, hivyo ni Vitabu vitatu ambavyo Mimi nataka mvisome; Mimi nataka ninyi mkasome Kitabu cha Yona, Mimi nataka ninyi mkasome Ezekieli, Mimi nataka mkasome Kitabu cha Isaya.

Sasa! Ah...Ndiyo, Mimi nataka wewe usome Ufunuo, Ufunuo, Ufunuo, Ufunuo. Na…Nami nataka wewe some, nataka usome Ezekieli, Ezekieli, Ezekieli. Hum, ndiyo! Nataka wewe usome Ezekieli, Ezekieli, Ezekieli, na Isaya, Isaya, Isaya, Isaya. Ooh! Ndiyo, ndiyo na Yona na Yona na Yona, na Yona.

Ooh binadamu! Hiyo inatosha, hiyo inatosha kwa kukufanya wewe uanze. Hiyo inatosha kwa kukufanya wewe kuanza. Usichanganyikiwe. Usiogope. Usiogope. Hivyo ni vitabu vizito sana, sana, sana, sana. Najua, Nnajua kwa sababu… Mimi nilifanya yaandikwe kwa ajili yako, Mimi nilifanya viandikwe kwa ajili yake. Kwanini kwa uhakika! Sasa, sasa kinachofuata la kufanywa, ni kuomba na kuomba na kuomba hadi hapo koo lako litakapopata malenge lenge.

Ndiyo! Omba, omba mpaka hapo koo lako litakapo toa malengelenge. Ndiyo, inakubidi ufanye hivyo kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee ya kuongea na Mimi. Kwa Baba, kwa Baba, kwa yule Mimi Ndimi Mkuu, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi….. Ooh Mwanadamu! Na Sisi tunajibu maombi yetu yote, lakini wakati Fulani ninyi hamuoni. Na kuna wakati mnajihisi kuwa mmejibiwa.

Lakini Mwanadamu! Sisi tunamsikiliza kila mmoja wao, masaa ishirini na nne kwa siku, masaa ishirini na nne kwa siku. Siku haipiti bila Sisi kusikia maombi kutoka kwako. Ndiyo, Ndiyo, Sisi tunasikia kila neno, kila silabi. Unaelewa, unaelewa kila neno, kila silabi.

Aah, sawa, sawa, sawa, sawa, sasa nikuambie nini zaidi? nikuambie nini zaidi? nikuambie nini zaidi? Ooh…ni la muhimu sana, ni la muhimu sana! Ndiyo, mpende jirani yako. Mpende jirani yako. Mpende jirani yako. Mpende jirani yako. Naam, Mpende jirani yako. Mpende jirani yako. Mpende jirani yako. Mpende jirani yako Mpende jirani yako. Sasa Mimi nimesema mara tisa. Sasa je, umejifunza kitu chochote? umejifunza kitu chochote?

Mpende Baba yako. Mpende Baba yako, Yule Ndimi Mimi Mkuu, Ndimi Mimi Mkuu, Ndimi Mimi Mkuu. Sasa hiyo ni rahisi, je hiyo siyo rahisi? Naam, hivyo ndivyo ilivyo rahisi kufika Mbinguni. Hivyo ndivyo ilivyo rahisi kufika Mbinguni. Naam kwa uhakika! Naam kwa Uhakika! Ni rahisi kufika Mbinguni. Naam kwa uhakika! Naam kwa Uhakika! Ni rahisi kufika Mbinguni. Naam kwa uhakika! Naama kwa Uhakika! Ooh kwa uhakika, kwa uhakika tayari unaanza kuwa mjanja mara hii. Unaanza kuona Mwanga. Unaanza kuona Mwanga wa Yesu. Unaanza kuona Mwanga wa Baba. Unaanza kuona Mwanga wa Roho Mtakatifu.

Binadamu, ona jinsi ilivyo rahisi kufika Mbinguni. Ona jinsi ilivyo rahisi kufika Mbinguni. Siyo ngumu, siyo jambo ngumu. Inachotakiwa ni kuwa na moyo mkunjufu. Inakubidi umaanishe kile unacho sema, na ina kubidi ufungue moyo wako. Sasa hivi! Sasa unanielewa Mimi, unakielewa kile nilicho sema? Sema baada Yangu, mimi naelewa, mimi naelewa, mimi naelewa. Nampenda Yesu. Nampenda Yesu. Nampenda Yesu. Ninamchukua Yesu Moyoni Mwangu. Ninamchukua Yesu Moyoni Mwangu. Ninamchukua Yesu Moyoni Mwangu. Je, sasa, hilo lilikuwa gumu, hilo lilikuwa gumu.

Hapana, hapana...Hapana hiyo haikuwa ngumu, hiyo haikuwa ngumu. Sasa, unajua ni nini la kufanya? Unajua ni nini nitakacho fanya? Sasa Mimi naenda kumtuma Roho Wangu Mtakatifu, Mimi naenda kumtuma Roho Wangu Mtakatifu ndani yako wewe. Naam…na Yeye anaenda kuishi ndani yako. Yeye anaenda kukaa ndani mwako. Naam, Yeye anaenda kukua, na Yeye naenda kukua, na Yeye atakupa wewe hekima. Yeye atakupa wewe hekima na maarifa na utambuzi wa roho na kila aina ya zawadi au karama.

Naam...na mara upatapo karama hizi, utaishia Mbinguni. Utaishia Mbinguni. Naam, kwa maana kila mtu ambaye anajiwa na Roho Mtakatifu anapokea karama, anapokea karama, kila aina ya karama nzuri nzuri, zawadi ya bure, zawadi ya bure. Naam, kutoka kwa Mungu, kutoka kwa Mungu, kutoka kwa Yahwe, na kutoka kwa Yesu, na kutoka kwa Yesu, na kutoka kwa Roho Mtakatifu, lakini Roho Mtakatifu ndiye Yeye akuongozaye wewe. Anakuongoza wew, anakuongoza, kwenda Mbinguni.

Anaenda Mbinguni, Anaenda Mbinguni pamoja na wewe pia. Ooh ndiyo! Ndiyo, kwa sababu huwezi kwenda mpaka uende kwa Yesu kwanza.Yesu ndiye Njia. Yesu ni Mwanga. Yesu ni kinjia, Yesu ni barabara.Yeye ni barabara ya kwenda Mbinguni. Yeye ni barabara ya kwenda Mbinguni. Yasikilize Maneno Yangu. Yasikilize Maneno Yangu. Ndiyo, hiyo haikuwa ngumu.

Haitakuumiza. Haitakuumiza, lakini itakuumiza kama wewe husikilizi. Itakuumiza kama wewe husikilizi. Ndiyo, itakuumiza, itakuimiza. Loo ajabu hivi itakuumiza. Itakuumiza. Mimi najua, najua itakuumiza. Ooh ndiyo, Mpendwa wangu, itakuumiza na Mimi sitaki uumie. Kwa sababu, Mimi ninakupenda. Mimi ninakupenda. Ninakupenda kwa Moyo Wangu wote. Mimi ninakupenda kwa Moyo Wangu wote. Ndiyo, Yesu anakupenda. Yesu anakupenda.

Looh ajabu, ajabu kweli je, unanisikia nikitapika maneno mdomoni tena? Je, ni mara ngapi nimekwisha sema haya katika siku chache zilizopita? Mimi sijui, Mimi sijui ni mara ngapi Mimi nimesema hivyo. Mimi sijui, lakini ni jambo muhimu, ni muhimu. Ndiyo, ni jambo muhimu sana! Looh ajabu, ni jambo muhimu sana. Naam, Naam ni jambo muhimu sana.

Ray, Ray, Ray, vipi koo lako, je vipi koo lako? Vipi koo lako, Ray Ah…naona, naona, naam. Nina zaidi yakusema, Nina zaidi ya kusema, kwa hiyo vumilia kidogo zaidi, vumilia. Nina zaidi ya kusema, naam, je, uko tayari? Moja, mbili, tatu (Lugha isiyo eleweka?).

Ni aibu gani! Ni aibu gani! Ni aibu gani! Ni aibu gani! Ooh ni aibu gani! Ooh ni aibu gani! Ooh Wangu, ooh, ooh Wangu, ooh ni aibu gani Ooh Wangu, ooh Wangu! Ooh Wangu, ooh Wangu! (Lugha isiyo eleweka?)

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.