16. Unabii aliopewa Raymond Aguilera kuanzia tarehe 15 Desemba 1990 hadi tarehe 1 Januari 1991 katika lugha ya Kiingereza na lugha isiyoeleweka.
Unabii uliotolewa kwa kuimba katika lugha:
Ramani, Ramani, Ramani ni Ramani ni ya kutoka Mbinguni. Ramani ile ambayo nita kwenda kukuonyeshea.
Ramani ile ambayo ni Ramani pekee. Ramani pekee, kutoka Mbinguni. Raamani ile ni mmoja, hata hivyo niyakutoka Mbinguni. Yesu, Yesu, Yesu.
Ndiyo, Ramani kutoka Mbinguni. Ramani, Ramani kutoka Mbinguni. Ndiyo Ramani kutoka Mbinguni Wanangu, Wanangu. Ni Ramani kutoka Mbinguni.
Ooh Moyo Wangu unaniuma Mimi. Inaumiza Moyo Wangu. Kwa maana Mimi nawapenda sana. Ninawapenda sana. Kwa moyo Wangu wote. Pale kuna Ramani. Pale kuna Ramani kutoka Mbinguni.
Mnisikilize Mim! Mnisikilize Mimi! Namtazame Ramani, Mtazame Ramani kwa Macho yenu yote, Kwa maana imekamilika, Sheria Yangu!
Je Ramani inahali gani. Ramani kutoka Mbinguni, Ramani kutoka Mbinguni Wanangu wa Kiume na wa Kike. Pale kuna Ramani. Pale kuna Ramani Wanangu, Wananagu wa Mbinguni. Ooh Wangu, Ooh Wangu, Ooh Wangu La, La, La. (Lugha isiyoeleweka)
Unabii uliotolewa kwa kuimba kwa lugha:
Mwendawazimu, Mwendawazimu Wangu Pale kuna Ramani, Mwendawazimu Wangu, Mwendawazimu pale kuna Ramanai ya kwenda Mbinguni.
Ramani Yangu kutoka Mbinguni. Aah, Mwendawazimu Wangu, Mwendawazimu Wangu. Pale kuna Ramani. Pale kuna Ramani.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )