17. Unabii aliopewa Raymond Aguilera kuanzia 15 Desemba 1990 hadi 1 Januari 1991 katika lugha ya Kihispaniola na Lugha isiyoeleweka.
Kwa kiberiti, kwa kiberiti, kwa kiberiti. Kwa kiberiti kutoka shimoni, kiberiti kutoka shimoni.
Mimi... Mimi moto, moto, kwa maana shetani, kwa maana shetani aliua, aliua Makasisi Wangu, Makasisi Wangu, kwa moto, kwa moto, miaka mingi iliyopita.
Ndiyo, Ndiyo kwa moto wa shetani, kwa moto wa shetani, aliua, aliwaua Makasisi Wangu kwa moto, kwa maoto.
Pale ndani ya Kanisa, Kanisa, Nyumbani, aliwaua wengi, Makasisi wengi, miaka mingi iliyopita. Na kwa kiberiti, na kwa Kiberiti,
Mimi na kwenda kuanzisha moto, moto wa shimoni, wa shimoni, wa shimoni.
Kwa maana shetani, kwa maana shetani alianzisha moto, moto wa nyumba, wa nyumba ya Makasisi, ya Makasisi. Yeye shetani alianzisha moto. YEYE! YEYE!
Nami nilikasirika sans, nilikasirishwa sana na ule moto, na kwa moto HUO HUO, Mimi naenda kuanzisha moto wa Shimoni, wa Shimoni.
Kwa maana nilikasirika sana kwani Makasisi Wangu walikufa kwenye moto huo, kwenye moto huo, kwenye moto huo wa miaka mingi, wa miaka mingi,, wa miaka mingi iliyopita.
MNISIKILIZE MIMI! MNISIKILIZE MIMI! MNISIKILIZE NINYI NYOTE, watu wote wa dunia hii, Watu wote wa Dunia hii.
Kwanini? Kwanini? Kwa maana Tarehe, Tarehe, ambaye hakuna mtu ajuaye ila Mimi, Mimi najua Tarehe hiyo, lakini kwa kiberiti, kwa kiberiti, kwa kiberiti ile ambayo shetani aliitumia katika Nyumba ya Makasisi, ndani ya Kanisa na kuwa ua wote.
Nakwa kiberiti hiyo hiy, Mimi naenda kuanzisha Shimoni, Shimoni, moto wa Shimoni.
Kwanini? Kwanini? Kwa maana shetani anaenda kufa kwa njia ya kiberiti hiyo hiyo, kwa kiberiti hiyo hiyo. Kwa maana Mimi nili kasirika sana. Nilikasirika sana, Makasisi, Makasisi, Wapendwa Wangu, Wapendwa Wangu. Nilikasirishwa sana! Nilikasirishwa sana kwa sababu shetani aliwasha nyumba kwa kiberiti, yeye, mwenyewe, yeye mwenyewe.
Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikile Mimi! Shetani, shetani anaenda kufa, anaenda kufa kwa njia ya moto wa kiberiti ile ile, kiberiti ile ile. Shetani, shetani sasa anawakati wake, anawakati unaokuja.
Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Angalieni angani. Angalieni angani kwa maana tazama muda unakuja. Tazama unakuja wakati na angalieni ishara, ishara za Giza, giza. Ndiyo, ishara za Giza kwa maana giza linaenda kwenye Shimo. Giza linaenda kwenye Shimo.
Na moto, na moto wa nyumba, Mimi naenda kutumia moto wa nyumba, Mimi naenda kutumia moto wa nyumba, Mimi naenda kutumia moto wa nyumba ya Makasisi. Ambao walifia, amabao walifia kwa ajili ya Baba Yangu, kwa ajili ya Baba Yangu. Naenda kutumia moto huo.
Huyu ni Yesu. Huyu ni Yesu. Huyu ni Yesu. Huyu ni Yesu kwa maana nilikasirika sana. Kwanini? Ndiyo, aliua Makasisi Wangu, aliwaua Makasisi Wangu.
Mnisikilize Mini! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Baba Yangu, Baba Yangu wa Mbinguni, wa Mbinguni. Wajua nini? Wajua nin? Nini naenda kufanya. Nini naenda kufanya. Nini naenda kufanya.
Kwa maana Baba anafahamu wakati, wakati, lakini Mimi sifahamu wakati, Mimi sifahamu wakati. Baba Yangu, Baba Yangu unahali gani, Baba Yangu. Unahali gani Baba Yangu.
Ndiyo, ndiyo Baba Anakupenda Wewe. Mpendwa Wangu, Mpendwa Wangu. Ooh ndiyo, Yesu, Yesu, Yesu. Kama unaweza kutumia kiberiti, unaweza kutumia kiberiti ile ya Makasisi. Unaweza kutumia kutumia kiberiti, kiberiti ile ile ya Makasisi.
Ndiyo, Ndiyo. Najua wakati na nitakuambia wakati huo, amabko unaweza kuutumia. Nitakuambia wakati huo, lakini wakati huo bado hauja timia, lakini umekaribia kabisa kutimia.
Minisikilize Mimi ninyi nyote! Mnisikilize Mimi ninyi nyote! Kwa maana Mimi ni Baba wa Yesu. Mimi ni Baba wa Yesu. Ooh Mwanangu, Mwanangu, Mwanangu. Nampenda kwa Moyo Wangu wote. (Lugha isiyoeleweka?)
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )