19. Unabii aliopewa Raymond Aguilera kati ya 15 Desemba 1990 na 1 Januari 1991 katika lugha ya Kiingereza na Lugha isiyoeleweka.
Katika lugha ya Kiingereza:
Ndiyo bwana, ndiyo bwana,ndiyo bwana, ndiyo bwana. Ndiyo bwana huyu ni yule Yehova Mkuu. Huyu ni yule Yehova Mkuu,
Watoto Wangu, Watoto Wangu, Watoto Wangu. Aah, Nawapenda, Nawapenda, Nawapenda. Angalieni juu kwenye nyota, angalieni Mbinguni. Agalieni kwenye nyota na angalieni Mbinguni. Je, mmeona isha yeyeote huko?
Kunaishara nyingi, nyingi sana ya vita vinavyoendelea huko Mbinguni, kwenye nyota kwenye anga. Ndiyo kuna vita vikubwa sana vinavyoendelea, vita vikubwa. Vita kati ya Yesu Kristu wa Nazareti na shetani, shetani, shetani.
Yeye anaenda kwenye Shimo (Jehanamu) Yeye anaenda Shimoni. Anaenda shimoni. Kama nilivyosema, siku nyingi, nyingi, nyigi iliyopita. Muda wake umekamilika. Muda wake umekamilika Muda wake umekamilika, Muda wake umekamilika.
Lakini Yesu, Yesu, Yesu na Malaika wake wanafanya kazi yao. Wanaenda kumpeleka kwenye chini kwenye shimo, kwenye shimo.
Nampenda Yesu Kristu Wangu wa Nazareti. Ooh ndiyo. Mwanangu, Mwanangu wa pekee, ambaye alifia kwa aajili ya dhambi zenu kwenye msalaba na akapaa Mbiguni siku ya tatu, na sasa amekaa kaibu nami.
Anawaongoza Majeshi Yangu, Majeshi ya Malaika, Malaika wote wa Mbinguni wanapigana na shetani. Naam, wanaenda kupeleka shimoni. Wote wale wabaya, wote wale wabaya waliokuwa wakiwaumezeni ninyi Watoto Wangu. Wale walio waumiza ninyi.
Yasikilizeni Maneno Yangu. Yasikilizeni Maneno Yangu. Yasikilizeni Maneno Yangu. Vita vimeanza. Vita vimeanza. Vita vimeanza.
Yasikilizeni Maneno Yangu. Yasikilizeni Maneno Yangu. Yasikilizeni Maneno Yangu. Yasikilizeni Maneno Yangu. Nawapendeni. Nawapendeni. Nawapendeni.
Ray: "Najisikia kuwa usingizi, nasinzia sana, na sinzia sana. Bwana je, usingizi huu unatoka kwako?"
Lord: "Ndiyo, Ray, usingizi huo unakuja kutoka kwa Baba, yule ambaye ni Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, ebu jilegeze, ebu jipumzishe Mimi Ndimi aliye Mkuu, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, nitakulinda wakati wote. Usiogope, ebu lala tu jipumzishe na nitakuita tena katika ndoto. Sikiliza ujumbe Wangu katika ndoto. Kwa hiyo ebu pumzika, lala, lala. Lala Ray. Huyu ni Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi ndimi, Mimi ndimi." (Lugha isiyoeleweka?)
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )