43. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 2 Mai 1992 saa 7:35 usiku. Katika lugha, na Kiingereza.
Ee Bwana, wakati wa Njia ya kwenda Damaska umefika. Kwa wakati wake, njia ya kwenda Damaska itaonekana. Baba wa Mbinguni saidia Kanisa lako. Baba wa Mbinguni saidia kanisa lako. Sifa na utukufu, Sifa na Utukufu apewe Baba, Kwani Mbingu na Duniai hazitapita kabla kila Neno nililolitaja halijatimia. Huyu ni Yesu, Mwana wa Baba, Mwana wa Mtu. Baba wa mbinguni, ichunge kanisa lako, Linda kanisa lako. Njia ya kwenda Damaska ni ndefu na iliyonyooka. Fungueni masikio na macho yenu, Mwili wote wa Kristu, kwani siku ile mliokuwa mnaingoja imefika. Muwe imara, muwewaadilifu, muwe Watakatifu kwani Roho Mtakatifu atawaongoza, atawaelekeza, atawalinda, ataruka juu yenu, hivyo ndivyo asemavyo Yesu Kristo, Mwana wa pekeee wa Baba. Sifa na Utukufu zimwendee Baba. Kwani Baba ni Ngome, Mwumbaji, aliyeko, na aliyekuwako,na atakayekuwako daima. Sifa zimwendee Baba. Sifa zimwendee Baba.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )