Sehemu hii ya sauti 63 ni ya dakika 11 (1.2 MB) imehaririwa (kufupishwa) kutoka kwenye habari yenyewe ya kwenye mkanda wangu mdogo wa kurekodia Kwanza fanya majaribio kutoka: sound.htm kuona kama mitambo yako ya kutoa sauti inafanya kazi sawasawa. Kuna sauti ya kukwaruza kwenye kanda au faili hii. Unabii huu uko katika lugha ya Kiingereza. Soma ujumbe wa hapa nchini wakati unaposikiliza mkanda huu wote iliuweze kupata matokeo mazuri.
Ili kusikiliza mkanda huu unahitajika uwe na Kadi ya sauti, na Modamu ya 14.4
au 28.8 kwenye komputa yako. Ili kupata "the RealAudio Player" ya kusikilizia
mkanda huu kama haipo kwenye komputa yako, bonyeza kwenye kitufe hiki.

63. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 26 Mei 1992 saa 8:20 usiku siku ya Jumanne katika lugha, Kiingereza na lugha isiyoeleweka.
Wakati saa itakapogonga saa tisa usiku wa manane bomu litalipuka Jijini Paris. Wakati wa nyakati za maasi bomu litalipuka saa 9 usiku wa manane kwenye Jiji la Paris siku ya dhoruba kali. Upepo na Mvua itakuwa ina vuma, na radi na umeme zitakuwa zina nguruma. Jiji litakuwa kama sehemu kubwa ya machinjio na vurumai itakapogonga saa 9.03 kamili. Maisha ya wengi yatapotea kwa sababu Viongozi waliamini kuwa wako salama na Mwendawazimu yule ambaye atalidanganya Jiji.
Kwa hiyo kumbuka Maneno Yangu. Siku na saa itaanza, wakati Mnyama atakapopokea nyaraka fulani ambazo zitawatuhumu Viongozi fulani wa Jiji. Atatumia nyaraka hizo kushawishi, kudanganya viongozi ili wamruhusu kupata nyaraka fulani ambazo zitampa nguvu. Kwa hiyo Mnyama atakuwa mshindi juu ya Paris kwa Bomu itakapo timia saa 9 usiku wa manane, siku ambayo kutakuwa na dhoruba na wakati ambao Jiji dunia havikuitarajia kabisa.
Kwa maana washiriki wa Mnyama watapata nguvu na kasi watakapo watesa Viongozi walarushwa kwa maneno yao wenyewe. Kwani hakuna atakayekuwa salama kwa washiriki wake. Kwa wakati na njia atakayo chagua, atafanya atakacho Hivyo ndivyo asemavyo Yehova. Kumbuka Maneno Yangu Mnyama na Washiriki wake watafika kwa wakati uliopangwa. Kwa hiyo jihadharini na wasikilizeni Manabii Wangu. Kwa maana wako katikati yenu. Mwamini Mungu wenu, Yehova, kwa nguvu zako zote, kwa maana saa iko karibu kutimia. (Lugha isiyoeleweka?) Kwaherini. Kwaherini.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )