67. Maono aniliyoona 27 Mei 1992 wakati wa saa 2 za usiku hivi. Siku ya Jumatano ndani ya kanisa.

Niliona meza ndefu na watu wakiwa wamekaa pande zote za meza wakikabiliana. Kisha kitambaa cheupe kilijitokeza katikati ya meza kikawatenganisha watu wale waliokuwa wakikabiliana kwenye meza hiyo. Kwa ghafla watu waliokaa mkono wa kuume wa meza hiyo walifunikwa na kitambaa hicho na kugeuka kuwa mafarasi weupe. Kisha nilichokiona ni kuwa hawa mafarasi weupe walikimbizana wenyewe. Walikuwa wakikimbizana sambamba na kwa kasi iwezekanavyo, shingo kwa shingo na pua kwa pua. Kilichofuata ni kuwa hao farasi walikuwa wanatembea katika mstari mmoja wakipanda angani, labda Mbinguni, sielewi ni kipi. 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.