Sehemu hii ya sauti 73 imehaririwa (kufupishwa) na kuwa ya dakika 5:41 (682 KB) kutoka kwenye habari yenyewe ya kwenye mkanda wangu mdogo wa kurekodia. Kwanza fanya majaribio kutoka: sound.htm kuona kama mitambo yako ya kutoa sauti inafanya kazi sawasawa. Kuna sauti ya kukwaruza kwenye kanda au faili hii. Unabii huu uko katika lugha ya Kihispania, Kiingereza na Lugha isiyoeleweka. Soma ujumbe wa hapa nchini wakati unaposikiliza mkanda huu wote iliuweze kupata matokeo mazuri.
Ilikusikiliza mkanda huu unahitajika uwe na Kadi ya sauti, na Modamu ya 14.4
au 28.8 kwenye komputa yako. Ili kupata "the RealAudio Player" ya kusikilizia
mkanda huu kama haipo kwenye komputa yako, bonyeza kwenye kitufe hiki.
73. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 4 Juni 1992 saa 7:48 usiku siku ya Alhamisi katika lugha, Kihispani, Kiingereza na Lugha isiyo eleweka.
Kihispaniola:
Mnisikilize Mimi! Nilichokisema hapo mwanzo kuhusu mambo ya dunia, nyota, anga, ya dunia itakwenda kuanza tarehe 30 ya mwezi Julai ya Mwaka Mpya, lakini mwaka wa Mungu, wa Kristu,ambao sitakuambia wewe. Lakini tarehe 30 Julai itakwenda kuanza tarehe ya vita na nguruwe. Na unaweza kuwekea alama tarehe hiyo katika kalenda yako tarehe 30 Julai, ya Julai.
Ni aibu gani ya kitakacho kwenda kutokea siku ya tarehe, kwa sababu wana kwenda kufa, watu wengi, inakubidi kuangalia mto wa damu kwa maana mto wa damu utazidi kujaa kwa damu ya vita. Mnisikilize, picha ya vita (lugha isiyo eleweka?) Walianguka, mashujaa wale waliopigana katika vita vya Kristu, lakini wamejinyanyua upya tena. Na safari hii watapigana mpaka mwisho Nguruwe atajifunza nani ni Mungu wa Miungu na Mfalme wa Wafalme.
Kiingereza:
Watoto Wangu, nikiwa na Upendo Moyoni mwangu na midomoni mwanga, na wa tafadhalisha muwasikilize Manabii kwani vita vitafanyika kama ilivyo kwenye maandiko ya Biblia Takatifu. Kwa maana hakuna kitakachofanyika ambacho hakiku funuliwa katika Biblia. Saa inakuja kutimia kama ilivyo andikwa katika Unabii wa Danieli, Ezekieli, Yeromia, Yoeli, Yohana
Vilio vya vita, vita, vilio vya miili iliyo chanwachanwa vipande vitakuwa kielelezo cha hasira ya Yehova. Kwa maana usafishaji wa machukizo vitakuwa kamilifu na timilifu hakutakuwa na mianya itakayoachwa. Mwanangu Yesu Kristu wa Nazareti ataongoza majeshi yote ya Mbinguni, na atawatumia kwa ukamilifu kabisa, kutimiza Neno Langu lililonenwa miaka maelfu iliyopita. Kwa maana kila kitu kitatimizwa hadi herufi ya mwisho ya niliyoagiza, kwa siku na kwa saa iliyopangwa bila huruma juu ya chochote kilicho kiovu juu ya Sayari hii, kwa maana mwanzo wa Mwisho umefika.
Wale wengine wenu wenye miili iliyojazwa Roho Mtakatifu, Kondoo Wangu wa Kiume na wa Kike watapelekwa juu Mbinguni kama ilivyoelezwa kwenye Biblia. Furahini, Shangilieni kwa maana Parapanda ya Mbinguni imeanza kulia, sauti za kengele, ya mashangilio, ya vicheko vya Malaika. Kwa maana yanafikia kikomo.
Fungueni masikio, fungueni macho, fungueni Biblia zenu, na mzisome, na muone Utukufu wa Yehova ukijifunua mbele ya macho yenu. Kwa maana kila goti litapigwa na kila ndimi itaungama kuwa Yesu Kristu ni Bwana wa Mabwana, na ni Mfalme wa Wafalme. Kwa maana ana Mamlaka ya kusimamia utekelezaji wa Amri ya Yehova bila huruma, ila kwa haki. Nitakuwa namgojea Mwanangu, na Kondoo wa Kike na wa Kiume wale ambao watavumilia hadi mwisho. (Lugha isiyoeleweka?)
Nawapenda ninyi kondoo Wangu wa Kike. Kondoo Wangu wa kiume muungane msaidiane ninyi kwa ninyi kwa maana karibu imetimia. Vyumba viko tayari, Mlango wa Lulu utafunguliwa wakati uliopangwa ukitimia. Mjitayarishe wenyewe, muingie kwenye Neno, leteni Mwili wa Kristu pamoja. Huyu ni Baba yenu, Yehova, Muumba wa Ulimwengu, wa kila kitu kilichokuwapo, kilichopo, na kitakachokuwapo. Mapatano na Amani iwe nanyi Kondoo Wangu kwa maana Mchungaji yuko njiani anakuja. Nawapenda, Nawapenda, Nawapenda kwa moyo Wangu wote. Huyu ni Yehova. Huyu ni Yehova. Amani na iwe nanyi kondoo Wangu wa Kiume na Wa Kike. Nawapenda.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )