Sehemu hii ya sauti 75 imehaririwa (kufupishwa) na kuwa ya dakika 4:04 (490 KB) kutoka kwenye habari yenyewe ya kwenye mkanda wangu mdogo wa kurekodia. Kwanza fanya majaribio kutoka: sound.htm kuona kama mitambo yako ya kutoa sauti inafanya kazi sawasawa. Kuna sauti ya kukwaruza kwenye kanda au faili hii. Unabii huu uko katika lugha ya Kiingereza, Kihispania na Lugha isiyoeleweka. Soma ujumbe wa hapa nchini wakati unaposikiliza mkanda huu wote iliuweze kupata matokeo mazuri.
Ilikusikiliza mkanda huu unahitajika uwe na Kadi ya sauti, na Modamu ya 14.4
au 28.8 kwenye komputa yako. Ili kupata "the RealAudio Player" ya kusikilizia
mkanda huu kama haipo kwenye komputa yako, bonyeza kwenye kitufe hiki.

75. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 6 Juni 1992 saa 6:50 Usiku siku ya Jumamosi, katika lugha ya Kihispaniola, Kiingereza na lugha isiyoeleweka.
Kihispaniola:
Ninakupenda. NInakupenda Mwanangu. Tafuta, utafute Neno la Mungu, na Mimi nitakuonyeshea vitu ambavyo kamwe hutaamini kuwa viko kwenye Biblia. Na nitakuonyeshea mambo mengi, na sababu ya mambo ya Biblia. Lakini inabidi uniamini Mimi, uongee na Mimi, unitafute Mimi, inabidi u……..
Kihispaniola:
Karaja, (Kardga neno la Kihispaniola <neno la mitaani la kutukana, ambalo haiko kwenye msamiati> kwa ajili ya Mwanamke ambaye ni: kaidi, mtukutu, mkorofi, kinyume, muasasi). Karaja, Karajo.
Kiingereza:
Mbegu, Mbegu,
Kihispaniola:
Karaja, (Kardga neno la Kihispaniola <neno la mitaani la kutukana, ambayo haiko kwenye msamiati> kwa ajili ya Mwanaume ambaye ni: kaidi, mtukutu, mkorofi, kinyume, muasasi). Karaja, Karajo.
Kiingereza:
Nataka nikueleze kuhusu jinsi itakavyo kuwa kwenye viwanja vya mapambano vya vita vijavyo na njinsi matokeo yatakavyo husiana na mwili wa Kristu. Kwa maana Mwili wa Kristu unabidi ujue muundo wa adui wake kwa maana vita vitaizingira dunia.Kama mnavyo zitega saa zenu ili ziwaambie wakati wakuamka ili muende kazini, hivyo hivyo inabidi kuzitega saa zenu za rohoni ili ziwaamshe kabla ya mwisho haujaja.
Manyigu wataimarika kinguvu pale Japan itakapofanikiwa kuunda silaha za kinuklia. Kwa maana haki itapingwa katika siku ile Wajapani watakapo logwa na Nabii wa uwongo, kwa maana nguvu ya Shetani ni mungu, ambaye ni Nabii wa Uwongo, ambayo dunia nzima itatawaliwa nayo.
Nawapenda, na Ninataka muelewe kuwa Mwanangu anaenda vitani mbio. Kwa maana Yeye ndiye Ngome yenu, nguvu yenu, kwa kupitia nguvu za Roho Mtakatifu kwa maana……
Kihispaniola:
Nimechagua saa ya kumwunguza Binti yangu.
Kihispaniola:
Mniguse Watoto wangu
Kihispaniola:
Kwenye Karaja, (Kardga neno la Kihispaniola <neno la mitaani la kutukana, ambayo haiko kwenye msamiati> kwa ajili ya Mwanamke ambaye ni: kaidi, mtukutu, mkorofi, kinyume, muasasi).
Kiingereza:
Asante Baba. Baba Yangu. Asante. Baba Yangu. Kwa maana Sifa na Utukufu wote zimwendee Baba. Sifa na Utukufu wote zimwendee Baba, Baba Yangu wa Pekee. Nakupenda Wewe. Nakupenda Wewe. Amani na Upendo ziwaendee Watu wa Dunia kwa maana karibu igonge, nyundo ya bunduki ambayo italipua mkia wa nyigu.
Watoto Wangu, kwa ajili ya utii wa kumtii Baba Yenu aliye Mbinguni, Anawapenda, Anawapenda, anawapenda. Huyu ni Yehova, huyu ni Yehova. Huyu ni Yehova.
Kihispaniola:
Yule Mwanamke nilimwekea alama. Nilimwekea alama. Mbegu, Mbegu, mnisikilize Mimi ninyi Mbegu.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )