Sehemu hii ya sauti 68 imehaririwa (kufupishwa) na kuwa ya dakika 1:12 (145 KB) kutoka kwenye habari yenyewe ya kwenye mkanda wangu mdogo wa kurekodia. Kwanza fanya majaribio kutoka: sound.htm kuona kama mitambo yako ya kutoa sauti inafanya kazi sawasawa. Kuna sauti ya kukwaruza kwenye kanda au faili hii. Unabii huu uko katika lugha ya Kiingereza, Kihispania na Lugha isiyoeleweka. Soma ujumbe wa hapa nchini wakati unaposikiliza mkanda huu wote iliuweze kupata matokeo mazuri.
Ilikusikiliza mkanda huu unahitajika uwe na Kadi ya sauti, na Modamu ya 14.4
au 28.8 kwenye komputa yako. Ili kupata "the RealAudio Player" ya kusikilizia
mkanda huu kama haipo kwenye komputa yako, bonyeza kwenye kitufe hiki.
76. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 6 Juni 1992 saa 6:58 usiku ya Jumamosi katika lugha na Kiingereza.
Nataka uone jinsi ninavyo waweka wachezaji wote mahali pao. Na jinsi ninavyo watambulisha kwako wachezaji, nikuonyeshee tabia zao na historia yao ya hapo nyuma. Hivyo kumbuka tabia zao kama ninavyokufunulia katika Unabii huu. Kwa maana nataka wewe ufahamu pointi Fulani Fulani muhimu na kuwa tayari katika mwili wa Kristu, kwa ajili ya Mwili wa Kristu. Nawapenda ninyi. Huyu ni Yehova. Nawapendeni. Mnisikilize na muombe na muwe pamoja msitangetange. Msitangetange nje ya ukweli. Nitakuwa naongea nawe zaidi tena wakati mwingine. Nawe utajua kuwa wakati na saa zimewadia.
Nawapenda ninyi Watoto, Yehova, anawapenda ninyi Watoto. Roho Mtakatifu anawapenda ninyi watoto, na Mimi, Yesu Kristu.
Asante Yesu Nakupenda.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )