77. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 6 Juni 1992 saa 9:16 mchana siku ya Jumamosi katika lugha, Kihispaniola na kiingereza.
Kihispaniola:
Ni aibu gani, ni aibu gani ya kuwa dunia inaenda kwisha, lakini inabidi iwe hivyo. Inabidi ipite kwa sababu saa imewadia, fungueni mioyo yenu, fungueni akili zenu.
Kiingereza:
Baba yenu wa Mbinguni anataka umakini wenu wa kusikiliza kwa maana muda utawadia kama nilivyo sema hapo mwanzoni. Kwa maana Mwili wa Kristo inabidi ichambue, inabidi iwe mmoja kwa maana siku imewadieni. Na gharika kutoka Mbinguni itawanyesheeni bila ya huruma. Gharika ya Mbinguni inaenda Kuharibu. Gharika ya Mbinguni inaenda Kuangamiza. Gharika ya Mbinguni inaenda kusafisha kila Uovu. Gharika ya Mbinguni iko juu yenu katika saa hii ya sasa amabayo inaenda kuwa funulieni kuja kwa Kristo.
Kwa Watakatifu wa Kristo itakuwa ni Siku ya Ajabu Kuu. Kwa watakatifu wa shetani itakuwa ni mwisho wa miisho yote. Kwa maana Tarumbeta ya Mbinguni itakuwa na siku zote iko tayari kwa ajili ya ujio wa Mwanangu. Angalieni juu na muone. Oneni kwa maana mawingu itakuwa inayo jibu mliyokuwa mnaingojea. Kwa maana fumba na kufumbua kutakuwa na mwanzo mpya ambayo ni miujiza mikubwa, ni ya ajabu kuliko mlivyokuwa manaweza kudhania.
Kwa hiyo muwasikilize kwa makini Mananbii, Yehova, msikilizeni Yesu Kristo wa Nazareti, msikilizeni Roho Mtakatifu. Kwa maana siku ile na saa ile itakapowadia. Kila mtu atakuwa katika hali ya mshtuko mkubwa, katika hali ya mshangao mkubwa, kwa maana imeandikwa katika Biblia. Itakuja kutimia. Na iwe hivyo, hivyo ndivyo asemavyo Yehona Mungu wa Ulimwengu. Mungu wa yote yale yaliyoko, yale yatakayo kuwa, Mungu wa kila kitu.
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )