1061. Vision given to Raymond Aguilera on 14 June 1997.

I see a vision, but I do not know how to explain it, but the Lord is showing me a virus. I starts off with the shape of a flower, and the Lord is telling me that it is going to go all over the world.  

1061. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 14 Juni 1997.

Mimi naona maono, lakini sijui jinsi ya kuyaelezea, lakini Bwana ananionyeshea vimelea (virus). Ilikuwa inaonekana kama ina sura ya ua, naye Bwana ananielezea kuwa itaenda kutawanyika dunia nzima.  

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.