1062. Occurrence given to Raymond Aguilera on 14 June 1997.

The spiritual warfare has really increased in the past week. One early morning before the sun came up, I was awaken with a strong pain in my chest. I felt like I was going to have a heart attack. I was really frightened, so I began to pray to the Lord for help. Slowly, but surely the pain left. I hate those kinds of attacks, but the Lord always removes them. Then, the next two days, after awaking from my afternoon nap, I felt like I was hit with a sledge hammer in the middle of my back. And the other day on the way home from the Post Office, I could feel the Angels of God, and the angels of the devil fiercely fighting around the outside of my car. What ever is going on, I seem to be in the middle of it or in the middle of something. (over)

 

1062. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 14 Juni 1997.

Mapambano ya kiroho yameongezeka sana katika wiki iliyopita. Asubuhi mmoja na mapema kabla jua halijachomoza, mimi niliamshwa na maumivu makali kwenye kifua changu. Mimi nilijisikia kama mtu aliyeshikwa na ugonjwa wa moyo. Kwa hiyo kwa kuwa nilitishika sana, nilianza kuomba msaada wa Bwana. Pole pole na kwa uhakika maumivu yale yalianza kuniachia. Mimi kwa kweli nachukia maumivu ya aina ile, lakini Bwana siku zote amekuwa akinisaidia kuyaondoa maumivu hayo. Kisha siku iliyofuata baada ya kuamka kutoka kwenye usingizi wangu wa mchana, mimi nilijisikia kama mtu aliyetwangwa kwa nyundo ya mbao mgongoni mwangu. Na siku nyingine nilipokuwa ninaenda nyumbani kutoka kwenye ofisi ya Posta; nilikuwa naweza kuhisi Malaika wa Bwana, na malaika wa shetani wakipigana kwa nguvu sana kuzunguka nje ya gari langu. Hicho kinachoendelea huko ambacho mimi sikijui; kinaelekea kimeninasa mimi nikiwa katikati ya mapambano hayo au katikati ya kitu fulani nisicho kijua. (Mwisho). 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.