1063. Vision given to Raymond Aguilera on 15 June 1997 at 11:30 PM.

During prayer, the Lord showed me a vision of some sort of stand. It had the shape of a horse shoe with the opening facing up. On top of the two horse shoe ends, I could see two probes facing each other. And in-between these two probes there was an enormous ball of light or energy. Then the Lord impressed it on my spirit that in- between the probes, this ball of light or energy, was the whole universe, EVERYTHING that EXISTS was that energy looking cloud or ball of light!

 

1063. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 15 Juni 1997 saa 5:30 usiku.

Wakati wa maombi, Bwana alinionyeshea maono ya kitu fulani kama kiti cha kukalia. Kilikuwa na umbo la kiatu cha farasi ambako ile sehemu yenye uwazi wa nyuma ya kiatu cha farasi kilikuwa kinaangalia juu. Kwenye mianya ile ya kiatu kile cha farasi, kulikuwa na kitu kama antena au mikono miwili ikiwa ina angaliana. Na katikati ya mikono au antena hizo kulikuwa na kitu kama mpira mkubwa wenye mwanga au nguvu. Kisha Bwana akaweka moyoni mwanga kuwa kati ya Mikono hiyo au antenna hizo mbili; huo mpira mkubwa wa mwanga au nguvu; ndani yake kulikuwa na ulimwengu wote, KILA KITU ambacho KIPO kilikuwa kipo ndani ya nguvu ile ambayo inaonekana kama wingu au kitu kama mpira wa mwanga!  

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.