1064. Vision given to Raymond Aguilera on 16 June 1997 at 8:45 PM.

During worship, the Lord gave me a vision of a Door, and this Door had a large brass looking door knob and lock. As I watched the lock, this thin handle Key was placed in the Key Hole and the Key was turned. (over)

 

1064. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 16 Juni 1997, saa 2:45 usiku.

Wakati wa kuabudu, Bwana alinipa maono ya Mlango; na Mlango huo ulikuwa na kitasa kilicho kuwa kinaonekana kuwa cha shaba pamoja na mkono wake wa kufungulia mlango huo.  Wakati nikiwa ninauangalia mkono wa kufungulia kitasa kile, mara ufunguo fulani mwembamba uliwekwa ndani ya shimo lile la kufungulia kitasa kile kisha ufunguo ule ukaanza kuzungushwa kwa nia ya kuufungua mlango ule. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.