1067. Vision given to Raymond Aguilera on 26 June 1997 at 5:52 PM.

The Lord gave me a vision of a bull's head. All I could see was the top of the bull's head as the bull moved from the west toward the east. The left horn of the bull caught my attention, for it was all black, except for a burgundy-red band with a white strip on each side of the burgundy -red color. (over)

1067. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 26 Juni 1997, saa 11:52 jioni.

Bwana alinipa maono ya kichwa cha dume. Yote niliyokuwa naweza kuona ilikuwa ni sehemu ya juu ya kichwa cha dume huyo ambaye alikuwa anatembea akiwa anatokea mangharibi na kuelekea mashariki. Pembe la dume huyo la upande wa Kushoto ndiyo iliyokuwa imevutia macho yangu, kwa maana ilikuwa ni nyeusi yote, isipokuwa utepe mwekundu uliokuwa una mstari mweupe kila upande wa utepe huo uliokuwa mwekundu. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.