|
1073.
Prophecy given to Raymond Aguilera on 17 July 1997 at 1:30 PM. in English. The Lord said, "The media, the movie makers, are going to want you to look to outer space, for other Beings, they call them Aliens. What I am telling you is: Do not look to outer space - look to inner space, for that is where they are. The spirit demons, the things that are not of God, the things that will destroy you. So look to the Bible; look to Jesus Christ of Nazareth; look to the Father; through the Power, through the Eyes of the Holy Spirit - you will find Heaven. Listen to My Words Clearly and to the Point: Inner space, inner space, inner space - is where the devil is. So be it. So be it. So be it." (over) |
1073.
Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 17 Julai 1997 saa 7:30 mchana katika
lugha ya Kiingereza. Bwana akasema, "Vyombo vya habari, watengeneza sinema, watawatakeni ninyi mkaangalie juu kwenye anga za juu, kwa ajili ya viumbe vyingine vya kwenye anga za juu, ambavyo wao wanaviita Aliens. Ninacho waambineni ninyi ni kuwa: msiangalie kwenye anga za juu bali angalieni kwenye anga za ndani (ndani ya mioyo), kwa maana huko ndiko walipo hao viumbe. Mapepo wachafu, mambo yale ambayo siyo mambo ya Mungu, vitu vile ambavyo vitaenda kuwangamizeni ninyi. Kwa hiyo mkaangalie ndani ya Biblia; mkamwangalie Yesu wa Nazareti; mkamwangalie Baba; kwa njia ya Nguvu, kwa njia ya Macho ya Roho Mtakatifu mtapata Mbingu. Mkasikilize Maneno Yangu kwa Uwazi na kwa Uhakika: anga za ndani, anga za ndani, anga za ndani ndipo shetani alipo. Na iwe hivyo. Na iwe hivyo. Na iwe hivyo. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )