1078. Vision given to Raymond Aguilera on 25 July 1997 at 6 AM.

The Lord gave me the same vision He gave on:

728. Vision given to Raymond Aguilera on 20 May 1995 at 7:30 PM.

I had a vision of a upside down fish, surrounded by a pink cloud or some sort of pink fog. The top of the tail was showing, but the body of the fish was hidden in the cloud.

(over)

1078. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 25 Julai 1997 saa 12 asubuhi.

Bwana alinipa maono yale yale aliyonipa katika:

728. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 20 Mai 1995, saa 1:30 jioni.

Mimi nilikuwa na maono ya samaki aliyekuwa kichwa chini na akiwa amefunikwa kwa wingu lenye rangi ya pinki ya aina fulani au ukungu. Mkia wa samaki huyo ulikuwa unaonekana sehemu ndogo nje ya wingu hilo au ukungu huo, lakini mwili wa samaki huo ulikuwa umefichwa ndani ya wingu au ukungu huo.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.