|
1079.
Vision given to Raymond Aguilera on 25 July 1997 at 6 AM. The Lord showed me the twenty-four chairs of the twenty-four elders from the Book of Revelation. But the chairs were not yet filled. (over) From the NIV Bible: Rev 4:4 Surrounding the throne were twenty-four other thrones, and seated on them were twenty-four elders. They were dressed in white and had crowns of gold on their heads. |
1079. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 25 Julai 1997 saa 12 asubuhi. Bwana alinionyeshea vile viti ishirini na vinne vya wale wazee ishirini na wanne kutoka katika Kitabu cha Ufunuo. Lakini viti hivyo bado vilikuwa vitupu. (Mwisho). Kutoka kwenye Biblia ya NIV: Ufu 4:4 Na viti ishirini na vinne vilikizunguka kile kiti cha enzi, na juu ya vile viti niliona wazee ishirini na wanne, wameketi, wamevikwa mavazi meupe; na juu ya vichwa vyao walikuwa na taji za dhahabu.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )