1089. Vision:

I kept having all kind of visions and things I do not understand. I had a vision of this white cross, and it was stuck into the ground upside down at an angle of 45 degrees. And this cave or the ground opened, and this white light came out, and the cross was forced in the ground upside down. (over)

I can also see this large hole in the ground. It is much larger than a well hole. It looks like it is 50 feet in diameter. And in the center of this large hole I could see the Star of David. Now I see a rope extending down towards the hole.

1089. Maono:

Mimi nilikuwa naona mara kwa mara maono ya kila aina na mambo ambayo mimi siyaelewi. Mimi niliona maono ya msalaba fulani uliokuwa mweupe, na ulisimikwa ardhini kichwa chini katika uelekeo wa kipenyo cha nyuzi 45. Na pango fulani au ardhi ilipasuka, na mwanga fulani mweupe ukajitokeza, na msalaba ukalazimishwa kuingia ndani ya ardhi kichwa chini. (Mwisho).

Mimi pia naweza kuona shimo fulani kubwa lililokuwa ardhini. Lilikuwa kubwa zaidi kuliko shimo la kisima. Shimo hilo lilikuwa linaonekana kuwa na upana wa futi 50. Na katikati ya shimo hilo nilikuwa naweza kuona Nyota ya Daudi. Na sasa naweza kuona kamba ikiwa inaelekea kwenye shimo hilo.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.