1102. Occurrence given to Raymond Aguilera on 28 July 1997 at 4:15 AM.

I was praying and praising the Lord, telling Him that I was nothing, and that He was everything, and I repeated it and repeated it. Then this Power; I do not know - this lifting Force came into the Hotel room. It felt like - it was shaking the bed in the real world, and in the spiritual world, at the same time. I felt myself spinning and elevating higher, higher, and higher in the spirit someplace. Then the Lord started showing me, people and places, that I have never seen before. Then He told me, these places are going to be destroyed. Then next thing I knew - I was back on top of my bed. (over)

1102. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 28 Julai 1997, saa 10:15 usiku.

Mimi nilikuwa naomba na kumtukuza Mungu, huku nikiwa ninamwambia kuwa mimi sikuwa lolote, na yakuwa Yeye pekee ndiye aliye kila kitu, nami nikarudia rudia kusema hivyo tena na tena na tena. Mara Nguvu fulani; mimi kwa kweli hata siielewi – Nguvu fulani ya kunyanyua ikaingia ndani chumba changu hicho cha hoteli. Ilisikika kama – inatingisha kitanda katika ulimwengu wa mwili, na pia katika ulimwengu wa roho, kwa wakati huo huo. Mimi nikajisikia nimeshikwa na kizungu zungu na kupaa juu zaidi na zaidi na zaidi katika ulimwengu wa kiroho mahala fulani. Kisha Bwana akaanza kunionyeshea watu, na maeneo fulani fulani, ambayo mimi sijawahi kuyaona hapo kabla. Kisha Bwana akaniambia kuwa maeneo hayo yanaenda kuharibiwa. Kilichofuata kukijua kilikuwa – nikajikuta mimi nikiwa juu ya kitanda changu tena. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.