|
1104.
Occurrence given to Raymond Aguilera 29 July 1997 at 10:36 PM. I was laying in bed and something grabbed my left foot and would not let me go. I bound it, and ordered it to leave in the Name of Jesus Christ. What was so unusual was that I was not in my Hotel room, I was somewhere else in the spirit. I cannot explain it other than what I just said. (over) |
1104.
Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 29 Julai 1997 saa 4:36 usiku. Mimi nilikuwa nimelala kitandani mwangu na mara kitu fulani kikavuta kitanda changu pamoja na mkono wangu na kikakataa kuuachia. Mimi nikakifunga na kukiamuru kiondoke katika Jina la Yesu Kristo. Kile kilichokuwa sicho cha kawaida kilikuwa ni kwamba mimi sikuwa kwenye chumba cha Hoteli yangu, mimi nilikuwa mahala fulani katika ulimwengu wa kiroho. Mimi nashindwa kukielezea zaidi ya hayo niliyokwisha sema. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )