|
1109.
Vision given to Raymond Aguilera on 29 August 1997 at 1:14 PM. During prayer, the Lord showed me a vision of a battle of a dragon. This dragon was fighting many of the Lord's Angels. As the battles progressed, the dragon used the back of it's tail and struck the Continent of South America. (over) |
1109. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 29 Agusti 1997, saa 7:14 mchana. Wakati wa maombi, Bwana alinionyeshea maono ya vita vya joka aitwaye dragoni. Joka hilo lilikuwa linapigana na Malaika wengi wa Bwana. Vita hivyo vilivyo pozidi kuendelea (kuwa vikali) yule joka akatumia nyuma ya mkia wake na kulipiga bara la Amerika ya Kusini. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )