|
1110.
Occurrence given to Raymond Aguilera on 29 August 1997 The Lord Jehovah, took me in the spirit, into outer space to the place where He first introduced Himself to me. From there, He showed me the Toronto trip I went on. He also showed me my trip to Israel, and the camping trips - He showed me the process of my training. He showed me the things that had happened and they were very revealing. The Power of God was incredible! (over) |
1110.
Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 29 Agusti 1997. Bwana Yehova, alinichukua katika roho, hadi kwenye anga za juu pale alipojitambulisha Yeye mwenyewe kwangu hapo mwanzoni. Kutoka pale, alinionyeshea safari yangu ile ya kwenda Toronto. Kisha alinionyeshea safari yangu ya kwenda Israeli, na safari zangu zile za kupiga kambi – alinionyeshea kazi ile ya kunifundishwa kwangu mimi. Pia alinionyeshea mambo yale ambayo yalitokea na jinsi yalivyokuwa ya uwazi sana. Nguvu za Mungu zilikuwa nyingi kiasi cha kustaajabisha pale! (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )