|
1112.
Occurrence given to Raymond Aguilera on 9 September 1997 at 8:30 PM. During the Monday night Bible study, the Lord revealed to me that reading the Bible is like going to a movie - where you see the movie from the beginning to the end. The Lord said, "You don't go to a movie and see the end and bits and pieces of the middle, and bits and pieces of the beginning; and then really leaving the movie knowing the WHOLE CONTENT." He said, "Reading the Bible is the same thing. You can only understand the Bible, when you begin at the Beginning and you stop at that End. This jumping around the Bible will just get you confused." "I Praise you, Jesus Christ." Amen. |
1112.
Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 9 Septemba 1997 saa 2:30 mchana. Wakati wa masomo ya Biblia ya kila Jumatatu usiku, Bwana alinifunulia kuwa kusoma Biblia ni sawasawa na kwenda kuona sinema – ambako unaona kutoka mwanzo hadi mwisho. Bwana alisema, "Ninyi huwa hamwendi kuona sinema na kuona mwisho, na kipande cha hapa na pale ya katikati na kipande cha hapa na pale cha mwanzoni; na kisha unatoka hapo ukumbini ukiwa unajua SINEMA YOTE ile iliyo onyeshwa." Yeye alisema, "Kusoma Biblia iko hivyo hivyo pia. Unaweza tu kuielewa Biblia, pale utakapo anzia mwanzoni na kusimama pale mwishoni mwake. Huko kuruka ruka ndani ya Biblia ndiye inayo wafanya mchanganyikiwe." "Ninakusifu Wewe, Yesu Kristo. Amina.” |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )