|
1113.
Vision given to Raymond Aguilera on 16 September 1997 at 9:10 AM. The Lord gave me a vision of Mt. Shasta. In this vision the mountain had an enormous black ball on top of the mountain. I watched this enormous black ball roll off the top of the snow covered mountain, then the mountain exploded! (over) |
1113. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 16 Septemba 1997, saa 3:10 asubuhi. Bwana alinipa maono ya Mlima Shasta. Katika maono hayo mlima huo ulikuwa na kitu kama mpira mweusi mkubwa sana sana juu yake. Kisha nikaona mpira huo mkubwa ukivingirika kutoka juu ya mlima huo ambao ulikuwa umefunikwa na theluji, kisha mlima huo wote ukalipuka! (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )