|
1114.
Vision given to Raymond Aguilera on 27 September 1997 at 7:31 AM. I was given a vision of some sort of a pit. In the spirit, the Lord revealed that were people being thrown into it. I can see this soldier on top of this thing, shooting the people in this hole or pit. But what was so interesting - in the background I could see this enormous White Light. It was the Spirit of God! (over) 8:07 AM. I see a dark desert with a dark sky. It looks like thunder clouds. |
1114. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 27 Septemba 1997, saa 1:31 asubuhi. Mimi nilipewa maono ya kitu kama shimo. Katika ulimwengu wa kiroho, Bwana alinifunulia kuwa watu walikuwa wanatupwa humo. Mimi naweza kuona askari wakiwa juu ya shimo hilo wakiwa wanawapiga risasi watu ndani ya shimo hilo au handaki hilo. Lakini kile ambacho kilikuwa ni cha kuvutia – kilikuwa kule nyuma nilikuwa naweza kuona Mwanga fulani Mkubwa sana. Ilikuwa ni Roho ya Mungu! (Mwisho). Saa 2:07 asubuhi. Mimi naona jangwa jeusi likiwa na anga nyeusi. Ilikuwa inaonekana kama mawingu ya dhoruba. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )