1217. Prophecy given to Raymond Aguilera on 13 November 1998 at 5:00 AM. in Spanish.

He blew the balloon! He blew the balloon! Why not! Why not! Yes, he blew the balloon. Yes, it has arrived the day it is going to break to the point. Here comes the spirit. Here comes the Spirit with force. Here comes all that is evil. Here comes all that is Good. Yes! (over)

 

1217. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 13 Novemba 1998, saa 11:00 alfajiri katika lugha ya Kihispaniola.

Alipuliza puto! Alipuliza puto! Kwanini isiwe hivyo! Kwanini isiwe hivyo! Ndiyo, alipuliza puto. Ndiyo imewadia siku ambayo itaenda kuvunjika (kupasuka) kwa uhakika. Huyo anakuja roho. Huyo anakuja Roho kwa nguvu. Hayo yanakuja yote yale ambayo ni maovu. Hayo yanakuja yote yale ambayo ni Mema. Ndiyo! (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.