|
1220.
Vision given to Raymond Aguilera on 28 November 1999 at 12:30 AM During prayer the Lord gave me a vision of a suit case and as the suit case was opened a full grown live Zebra came out of the suit case. (over) Vision: I see the colors red and violet and sort of mixed together. (over)
|
1220. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 28 Novemba 1999, saa 6:30 usiku. Wakati wa maombi Bwana alinipa maono ya sanduku (la nguo), na wakati sanduko hilo lilipofunguliwa punda mlia mzima aliyekuwa hai alijitokeza kutoka humo ndani ya sanduku hilo. (Mwisho). Maono: Naona rangi nyekundu na samabarao ya aina fulani ni kama imechanganywa pamoja. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )