1224. Occurrence given to Raymond Aguilera on 15 December 1998 at 8:00 AM.

The Lord woke me up and told me to go to a high place in the Bay Area and to curse it three times. (over)

At 11:30 AM. the same day, I cursed the Bay Area from a high place. Fifteen minutes later, the Lord gave me a vision of a wedding band with an image of a nuclear explosion coming from the center of it.

 

 

1224. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 15 Desemba 1998, saa 2:00 asubuhi.

Bwana aliniamsha nakuniambia niende kwenye Eneo la juu la Ghuba na kuilaani mara tatu. (Mwisho).

Wakati wa saa 5:30 asubuhi katika siku hiyo hiyo, mimi niliilaani eneo hilo la Ghuba kutoka kwenye eneo la juu (la Ghuba hiyo). Dakika kumi na tano baadaye, Bwana alinipa maono ya sherehe ya harusi pamoja na sura ya mlipuko wa kinukilia ukiwa unatokea katikati yake.

 

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.