1227. Prophecy given to Raymond Aguilera on 20 January 1999 at 5:20 PM.

I have been feeling very, very depressed and under such spiritual attack, I have not been able to do a thing since I decided to go to Russia and visit the lady with red hair. So I prayed to the Lord for help and the Lord said, "The lady with red hair and Russia are the same, but different. One represents a woman and the other represents a country and both represent the woman with red hair. Reymundo, I want you to go and pray over Europe and Russia. That is why you are under such spiritual attack. The devil wants to stop you!" (over)

 

1227. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 20 Januari 1999, saa 11:20 jioni.

Mimi nimekuwa nikijisikia mkiwa sana sana na nikiwa kwenye mashambulizi makubwa, mimi nimeshindwa kufanya lolote tokea nilipoamua kwenda Urusi na kumtembelea yule mwananmke mwenye nywele nyekundu. Kwa hiyo mimi nikaanza kumwomba Bwana ili anisaidie, naye Bwana akaniambia, “Mwanamke yule mwenye nywele nyekundu, na Urusi ni kitu kimoja, lakini ni tofauti. Mmoja anawakilisha mwanamke na mwingine anawakilisha nchi na wote wawili wanawakilisha mwanamke mwenye nywele nyekundu. Reymundo, Mimi nataka wewe uende na kuomba kwa ajili ya Ulaya na Urusi. Hiyo ndiyo sababu ya wewe kuwa kwenye mashambulizi hayo ya kiroho. Shetani anataka akuzuie wewe (usiende)!" (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.