1229. Vision given to Raymond Aguilera on 27 January 1999 at 9:20 AM

Vision:

The Lord gave me a vision of a bear sleeping in a cave.

Vision:

Then the Lord gave me a vision of a fish inside a hotdog bun.

Vision:

Then the Lord gave me a vision of a dog sleeping.

Vision:

Then I was given a vision of musical pipes like the kind you see on a pipe organ.

Vision:

A vision of a chicken sitting in a nest keeping some eggs warm with wedding band in it’s beak.

Vision:

A vision of a white shoe polish applicator applying black shoe polish to a shoe, but the White polish applicator remains white in color.

Vision at 3:50 PM:

The Lord said, "Strong Forces." (over)

 

1229. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 27 Januari 1999 saa 3:20 Asubuhi

Maono:

Bwana alinipa maono ya dubu akiwa amelala ndani ya pango.

Maono:

Bwana alinipa maono ya samaki akiwa ndani ya andazi ambayo iko moto moto.

Maono:

Kisha Bwana alinipa maono ya mbwa aliyekuwa amelala.

Maono:

Kisha mimi nikapewa maono ya chombo cha muziki cha aina ya filimbi ambayo ni sawa na ile inayo tumika kwenye tarumbeta ya aina “pipe organ”.

Maono:

Maono ya kuku akiwa analalia mayai akiwa na mshipi wa ndoa ukiwa umefungwa kwenye mdomo wake.

Maono:

Maono ya mashine ya brashi ya kupiga rangi nyeupe kwenye viatu ikiwa inapiga rangi nyeusi lakini brashi ya mashine hiyo yenyewe ilibaki kuwa ni nyeupe.

Maono saa 9:50 mchana:

Bwana akasema, "Majeshi yenye Nguvu." (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.