1238. Occurrence and Vision given to Raymond Aguilera on 21 February 1999 at 2:00 AM.

During prayer the Lord showed me (through a vision) that people have done so much evil over the European countries, that the actual ground became evil. And that was one other reason for the prayer and anointing of Europe. I could actually sense in the spirit, that the buildings, the material things, the ground, these things that were there were actually evil. I do not know how this is possible, but I could see the evilness walking side by side like it was a marching army of evil, and evil was all over these areas. And then the Lord showed me that the Ground that the Lord walked on was Holy Ground. Well, that was what the Lord revealed to me. (over)

1238. Matukio na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 21 Februari 1999 saa 8:00 Usiku.

Wakati wa maombi Bwana alinionyeshea (kwa njia ya maono) kuwa watu walikuwa wamefanya maovu mengi sana kule Ulaya kiasi ambacho hata ardhi nayo imekuwa ovu. Na hiyo ni sababu mmojawapo ambayo inabidi aende kule ili akafanye maombi pamoja na kuyaweka maeneo hayo ya Ulaya Wakfu. Mimi nilikuwa naweza kuhisi katika ulimwengu wa kiroho kuwa majengo, vitu vya kawaida, ardhi na vyote vilivyo kuwa mahala pale; ni viovu kwa uhakika. Mimi sielewi jinsi hivyo inavyoweze kuwa, lakini mimi nilikuwa naweza kuona uovu ukiwa unatembea ubavu kwa ubavu kana kwamba ni jeshi la vita linalo songa mbele kwenye mapambano, na uou ulikuwa uko kila mahali pale. Na kisha Bwana alinionyeshea mimi kuwa; Ardhi ile ambayo Bwana alikotembea ilikuwa ni Ardhi Takatifu. Naam, hilo ndilo kile Bwana alicho nifunulia mimi. (Misho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.