|
1239. Vision given to Raymond Aguilera on 21 February 1999 at 4:00 PM. The Lord gave me a vivid vision of President Clinton sitting nude in a bathtub of water. I just could see his bare chest with his head looking down at the water. (over) |
1239. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 21 Februari 1999 saa 10:00 jioni. Bwana alinipa maono yaliyokuwa wazi sana ya Rais Clinton akiwa amekaa na huku akiwa uchi ndani ya baseni ya kuogea yenye maji. Mimi nilikuwa naweza kuona kifua chake kilicho kuwa wazi pamoja na kichwa chake alicho kuwa amekiinamisha chini huku akiwa anayaangalia maji hayo. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )