|
1240. Occurrence given to Raymond Aguilera on 22 February 1999 at 9:35 AM. Hello Brothers and Sisters in Christ, I relay the following prophecy with a joyous, but with a heavy heart. For those who have helped me with the funds in the past, I am going to ask you again to pray heavily and pointed to our Lord Jesus Christ for the direction of this matter. For I do not have the funds for this either. For those who have studied the Bible deeply will understand parts of the following prophecy. Also, I believe this is going to happen some time soon after I return from Europe, but I am not sure when. God bless you all and may the Lord Jesus Christ have mercy on us all. Yours in Christ, Ray ****** Prophecy: The Lord said, "Reymundo, I want you to go to Israel, to the city of Jerusalem, and to anoint a perimeter around the City." (over) |
1240. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 22 Februari 1999, saa 3:35 asubuhi. Wapendwa Kaka na Dada zangu katika Kristo, Mimi ninawatumieni Unabii ufuatao kwa furaha, lakini kwa moyo mzito. Kwa maana wale walio nisaidia kwa fedha kwa wakati uliopita, imenilazimu niwaombe tena kuomba kwa nguvu na kwa uhakika kwa Bwana Yesu Kristo kwa ajili ya maelekezo ya jambo hili. Kwa maana mimi sina fedha kwa ajili ya jambo hili pia. Kwa wale walio ijufunza Biblia kwa kina wanaweza kuelewa sehemu ya Unabii ufuatao. Pia, mimi naamini hili litaenda kutokea katika siku za hivi karibuni, baada ya mimi kurudi kutoka Ulaya, lakini mimi sina uhakika hiyo itakuwa ni lini. Mungu awabariki nyote, Naye Bwana Yesu Kristo atuhurumie sisi sote. Wako katika Kristo Yesu, Ray ****** Unabii: Bwana alisema, "Reymundo, Mimi nataka wewe uende Israel, kwenye Jiji la Yerusalemu, na kuiweka Wakfu mzunguko wa kuzunguka Jiji hilo." (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )