|
1241. Vision given to Raymond Aguilera on 22 February 1999 at 12:45 AM. The Lord gave me the same end time vision (#2. Vision) from 1990. 2. Visions given to Raymond Aguilera on 18 July 1990. …..Vision: Then out of nowhere a new planet appeared, but this planet was three to four times bigger than the planet Earth. It had a bright white light on the outside of it with a dark center.
|
1241. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 22 Februari 1999 saa 6:45 usiku. Bwana alinipa maono yale yale ya siku za Mwisho (Maono #2.) kutoka mwaka 1990. 2. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 18 Julai 1990. …..Maono: Kisha bila kutarajia sayari mpya ikatokea, lakini sayari hii ilikuwa ni kubwa mara tatu au hata mara nne hivi ya ile ya Dunia yetu hii. Ilikuwa na mwanga mkali na mweupe kwa nje yake na ikiwa na uweusi kwa ndani.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )