1242. Occurrence given to Raymond Aguilera on 25 February 1999.

I sense my physical body dying and my spiritual body becoming more alive in the last few days. I still sense a strong spiritual war around me though. The Lord has been opening my spirit to the upcoming Europe and Israel mission trips in the past few days with such a focus that it is frightening, but yet, I know in my spirit that this must happen. All of this makes me truly believe that the end of all that we know is close at hand. Even in the flesh, my body is becoming more aware of what is in front of us.

I remember once, years ago, I gave a prophecy book to a Mexican woman who could not read English (but I did not know this), but she was able to read it in her own language. When we spoke again weeks later, I was surprised how the Lord revealed His Word to her even though the book was not in her own language. The Lord is truly amazing!

And now in the recent months I am getting e-mails from people who write me asking me how I got their e-mail address for they had received a prophecy. One brother in Christ asked me to remove him from our e-mail list for he was closing his e-mail account. After looking for his e-mail address to remove it, I was surprised to find out he was not on our e-mail list. So I e-mailed him back and told him I could not find his e-mail address on our prophecy e-mail list. He was also surprised for he said he had been receiving my e-mails from the e-mail list for some time. Now yesterday I received another e-mail from someone else asking me how I got his e-mail address for he had received a prophecy.

Then there was the case where a friend of mine received a scripture from me that I did not send. In another case there was a rebuke from the Lord to a pastor who was not doing the Lord’s will. I remember I had just finished typing up the rebuke e-mail and had just placed the period at the end of the last sentence, when my computer instantly and automatically sent the e-mail message out without me ever touching the send button. This really frightened me. Then a few days ago, I receive an e-mail from a Minister who had mailed me some money to help me with the European trip and he said his letter was returned. He e-mailed and informed me that he believed it was a spiritual attack from Satan. Maybe Satan is really trying hard to stop this Europe trip. And today I received an incorrect tax bill from the State of California asking for over $2500.00 within 30 days. I might add I should be in the middle of Europe during this time period. What a coincidence!

With all of these unexplained events one’s own flesh begins to become aware of the spiritual forces and the warfare around this European trip and around this ministry. I still get many angry e-mails from people who call me all kinds of names or whatever. But the reality of it all is that the Lord is going to do what He said He was going to do whether they believe these prophecies or not. This is going to be a great shock to many brothers and sisters in Christ.

Last night at our bible study we discussed the testimony of two women who through their prophetic obedience saw how the Word of the Lord affected the people they knew and the repercussions that followed the people who received the Word of the Lord. This Word they received was on the level of life or death for a member or members of one of the woman’s family. We really do not always know how our being obedient will effect people’s lives until it has been completed by the prophet and the Lord. But it is always important to follow through even if you are looked down upon and even if you become an outcast. If we truly belong to Christ, we have to learn to obey and let the Lord cover us with His Spirit and let the Lord’s will be done and let it become real in your walk.

The Lord revealed to me, through this bible study, the importance of being obedient in going to Europe. For in my heart I truly know that millions of lives are at the center of me being obedient. So please pray that I will have the spiritual strength and the funds to complete this Europe mission and the following mission to Israel sometime this summer for the Lord. And may we all jump onto the Lord’s Train.

1242. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 25 Februari 1999.

Ninahisi kuwa mwili wangu wa kidunia unakufa na mwili wangu wa kiroho unakua na kuchangamka katika siku chache zilizo pita. Hata hivyo bado mimi nilikuwa nahisi mapambano makubwa katika ulimwengu wa kiroho yakiwa bado yananizunguka mimi. Bwana katika siku za hivi karibuni, amekuwa akiufungua roho yangu kwa ajili ya kuitayarisha kwa ajili ya safari hiyo inayokuja; ya Ulaya na Israeli, kwa nguvu na kwa uhalisi mkubwa, kiasi ambacho ilikuwa inatisha, lakini bado mimi najua ndani ya roho yangu kuwa lazima hayo yatokee. Yote hayo yanazidi kunifanya niamini kweli kweli kuwa; Mwisho ule wa yote yale tunayo fahamu uko mbele yetu na umekaribia sana. Hata nyama yangu pamoja na mwili wangu yote inaanza kutambua zaidi na zaidi kile ambacho kipo mbele yetu.

Mimi miaka kadha iliyopita; nilimpa mama fulani wa Ki-Mkristo ambaye alikuwa hajui kusoma Kiingereza (lakini mimi nilikuwa sijui hilo) kitabu cha Unabii, lakini yeye aliweza kukisoma kitabu hicho katika lugha yake. Pale nilipoongea naye majuma kadhaa baadaye, mimi nilishanga kwa jinsi Bwana alivyo mfunulia Neno lake kwa njia ya kitabu hicho, japo kitabu hicho hakikuwa kimeandikwa katika lugha yake. Kwa kweli Mungu anashangaza sana!

Nami katika miezi ya hivi karibuni nimeaanza kupata barua pepe kutoka kwa watu ambao wameniandikia wakitaka kujua jinsi walivyo pata anwani ya Barua pepe zao kwa maana nao pia wamepokea nakala ya unabii huo. Ndugu mmoja katika Kristo aliniomba nitoe jina lake kutoka kwenye orodha ya Barua pepe yangu kwa maana yeye alikuwa anaifunga Barua pepe yake hiyo. Baada ya kutafuta jina lake kwenye orodha yangu ili niitoe nilishangazwa kuona kuwa haikuwapo. Kwa hiyo mimi nikamtumia Barua pepe kumweleza kuwa yeye hakuwa kwenye Barua pepe yangu ya unabii. Yeye naye alishangazwa kwa maana alisema naye amekuwa akipokea Barua pepe kutoka kwenye orodha ya watu walioko kwenye Barua pepe yangu kwa muda hivi sasa. Na jana mimi nilipokea Barua pepe kutoka kwa mtu mwingine aliyekuwa akiniuliza jinsi nilivyo pata anwani ya Barua pepe yangu kwa maana yeye amepokea nakala ya unabii.

Kisha kulikuwa na tukio fulani ambako rafiki yangu fulani alipokea maandiko kutoka kwangu ambayo mimi wala sikuyatuma. Katika tukio lingine kulikuwa na onyo kutoka kwa Bwana kwenda kwa Mchungaji fulani ambaye alikuwa hafanyi mapenzi ya Bwana. Mimi nakumbuka kuwa mimi nilikuwa nimemaliza kuandika Barua pepe ya maonyo hayo; nami nilikuwa nimemaliza tu; kuandika muda wa Barua hiyo kwenye Mwisho wa sentensi hiyo ambayo ilikuwa ni ya Mwisho, mara nikastukia kompyuta yangu ikituma ujumbe huo bila mimi kugusa sehemu ya kutumia ujumbe huo kwenye kompyuta yangu. Hili lilinitisha mimi kweli. Kisha siku chache zilizopita, mimi nilipokea Barua pepe kutoka kwa Mchungaji ambaye alikuwa amenitumia fedha ili kunisaidia kwa safari ya kwenda Ulaya naye akasema kuwa Barua yake hiyo ya fedha ili rudishwa kwake. Yeye kwenye Barua yake hiyo alisema kuwa yeye anaamini kuwa hiyo ilikuwa ni mashambulizi ya kiroho yaliyotoka kwa Shetani. Labda shetani anajaribu kweli kwa nguvu zote ili safari hiyo ya Ulaya ishindwe. Na leo mimi nilipokea kodi ambayo haikuwa sahihi kutoka kwenye serikali ya Jimbo la Kalifonia ikitaka nilipe kodi ya zaidi ya $2500.00 katika muda wa siku 30. Labda niongezee kwa kusema kuwa mimi nilikuwa huko kwenye bara la Ulaya wakati huo. Ilikuwa ni bahati iliyoje!

Pamoja na matukio haya yote ambayo hayana maelezo; unajikuta kimwili unaanza kuhisi mapambano makali katika ulimwengu wa kiroho kuhusu safari hii ya kwenda Ulaya pamoja na mapambano ya kuhusu huduma hii. Mimi bado napokea mabarua pepe ya matusi kutoka kwa watu waliokuwa wamekasirika na ambao wananipa mimi kila aina ya majina. Lakini ukweli wa mambo hayo yote ni kuwa Bwana anaenda kutimiza mambo hayo yote aliyo yasema Yeye; kuwa angelienda kufanya bila kujalisha iwapo wao wataamini au la. Hili linaenda kuwa jambo la kuwashangaza na la kuwashtua kaka na dada wengi walioko katika Kristo.

Usiku uliopita kwenye mkutano wa kujifunza Biblia sisi tulijadili ushuhuda wa wanawake wawili ambao kwa njia ya utii wao kwa Unabii; waliweza kuona jinsi Neno la Bwana lilivyo weza kuwa gusa watu waliokuwa wanawafahamu na mambo yaliyo wakumba watu hao, ambao walilipokea Neno la Bwana. Neno hilo ambalo wao walilipokea; lilikuwa ni swala la kufa na kupona kwa mtu au watu fulani wa familia ya mama mmojwapo wa familia hiyo. Kwa kweli sisi hatujui siku zote kwa uhakika jinsi utii wetu unavyo weza kuyagusa maisha ya watu wengine hadi hapo inapo dhihirishwa na Nabii pamoja na Mungu. Lakini siku zote ni jambo muhimu kutii na kutekeleza hadi kukamilisha agizo japo utadharauliwa au hata kama utatengwa. Kama kweli sisi tulio wa Kristo, inatulazimu tujifunze kutii na kumwachia Bwana atufunike kwa Roho Wake Mtakatifu na tuyaachie Mapenzi ya Bwana yatimie katika maisha yetu na yadhihirike katika matendo yetu.

Bwana alinifunulia kwa njia ya masomo hayo ya Biblia; juu ya umuhimu wa kuwa mtiifu kwa Mungu kuhusu kwenda kwenye safari hiyo ya Ulaya. Kwa maana katika moyo wangu mimi najua kuwa; kwa uhakika maisha ya mamilioni ya watu yanategemea uti wangu wa kwenda safari hiyo. Kwa hiyo tafadhalini mniombee mimi; ili nijaliwe ujasiri wa kiroho pamoja na fedha za kuniwezesha kumalizia safari hiyo ya Ulaya na safari inayofuata ya kwenda Israeli baadaye; wakati wa majira ya baridi kwa ajili ya Bwana. Nasi sote tuwezeshwe kurukia kwenye Gari moshi hilo la Bwana.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.