1249. Prophecy given to Raymond Aguilera on 6 March 1999 at 10:20 AM.

During prayer I asked the Lord about the perimeter around Israel that was to be anointed in the upcoming Israel mission trip, and the Lord said, "300 Kilometers".

C (perimeter) = 2pR

Circumference = 2pRadius

300 Km = 2 x 3.1415 x Radius

300 Km = Radius

2 x 3.1415

47.747Km = Radius (From the city of Jerusalem)

1 Km = .6214 Mile

29.669 miles = Radius (From the city of Jerusalem)

1249. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 6 Machi 1999, saa 4:20 asubuhi.

Wakati wa maombi mimi nilimwuliza Bwana kuhusu eneo hilo la kuwekwa Wakfu kuzunguka Israeli katika safari hiyo inayokuja, Naye Bwana akasema, "Kilometa 300 (kwa mzunguko)".

C (mzunguko) = 2pR(kipenyo)

Mzunguko = 2pR (kipenyo)

Kilomita 300 = 2 x 3.1415 x Kipenyo

300 Km = Kipenyo (Radius)

2 x 3.1415

47.747Km = Kipenyo (Radius) (Kutoka Jiji la Yerusalemu)

Kilometa 1 = .6214 ya Maili

Maili 29.669  = Kipenyo (Kutoka Jiji la Yerusalem)

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.