1250. Vision and Prophecy given to Raymond Aguilera on 6 March 1999 at 3:30 PM.

During prayer the Lord gave me a vision of a chisel about 12 inches long, that was about to strike large rock and as the chisel touched the rock I saw a flash or arc of intense White Light. Then this Large Hammer appeared over the chisel and the Lord said, "The Hammer is about to strike! Be prepared. Be ready." (over)

1250. Maono na Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 6 Machi 1999, saa 9:30 mchana.

Wakati wa maombi Bwana alinipa maono ya patasi yenye urefu wa kitu kama inchi 12, ambayo ilikuwa iko tayari kutwanga mwamba mkubwa na wakati patasi hiyo ilipoigusa mwamba huo; mimi niliona cheche au Mwanga mkali sana Mweupe kama wa kuchomea chuma. Kisha Nyundo fulani kubwa sana mara ikatokea juu ya patasi hiyo na Bwana akasema, "Nyundo iko karibu kutwanga! Mjitayarishe! Muwe tayari." (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.