1251. Vision given to Raymond Aguilera on 9 March 1999 at 9 PM.

During prayer the Lord gave me the same vision I had earlier:

From 1232. Occurrence:

….I hope this makes some sense, but I will try to explain what was shown to me. In a micro second I was shown all of Europe in ruins and at the same time I was part of it but I was not there….

As I watched the same vision of Europe in ruins the Lord somehow lifted me up in the spirit where I could see the countries of Europe from high in the sky and what I saw was a large right shoe print covering all of the countries of Europe. (over)

1251. Moano aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 9 Machi 1999 saa 3 Mchana.

Wakati wa maombi Bwana alinipa maono yale ambayo nilishawahi kupokea:

Kutoka 1232. Matukio:

….Natumaini hili linaweza kueleweka kidogo, lakini mimi nitajaribu kuelezea kile ambacho kilionyeshwa kwangu. Katika muda mfupi wa sehemu ndogo sana ya sekunde mimi nilionyeshewa sehemu zote za Ulaya zikiwa zimeharibiwa sana na wakati huo huo mimi nilikuwa ni sehemu yake lakini hapo hapo mimi sikuwa hapo ….

Nilivyokuwa naangalia maono hayo; ambayo nilikwisha yaona ya Ulaya ambayo iko kwenye maangamizi, Bwana kwa namna fulani alininyanyua juu hadi mahala fulani kwenye anga za juu ambako nilikuwa naweza kuona nchi za Ulaya na kile nilichokuwa nakiona kilikuwa ni nyayo kubwa za kiatu cha mguu wa kulia cha mtu, ambacho kimeacha alama katika kila eneo kwenye nchi zote hizo za Ulaya. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.