|
1252. Occurrence given to Raymond Aguilera on 16 March 1999. The Prophecies, Visions and Occurrences from 1252 through 1319 were received on the European prayer mission trip. During this time I met Eva and Irene for the first time in person. Eva came with me on the Western Europe part of the trip and Irene guided me on the second part of the mission, she showed me Kiev, Ukraine. Map of Western Europe part of trip. Irene during one of the walks in Kiev.
Irene and I at Easter dinner at her house. It was Irene's idea to
take pictures in Kiev. Eva and I did not take any pictures in Western
Europe. For we felt our job was to pray and not sightsee.
Other than the pictures, I did noticed that Eva and Irene did many of the same things that I began to believe that the Lord had given them both the same script. They both took care of me like a mother hen takes care of her chicks. They both handled the money, most of the food, and made most of the travel arrangements (taxis, trains, buses, ships, etc.). I have to admit I had a hard time submitting and being humble, but I just kept telling myself, "The Lord is really in charge. So Raymond, just keep your mouth shut!" The whole mission trip went so well I give the Lord all the praise! In Turku, Finland on Easter Sunday, April 4, Eva gave me a tour of this old Presbyterian Church and as we walked out onto the street, we walked by a high Bishop of the State Presbyterian Church giving an interview to a television station. Then almost one week later, Irene gave me a tour of a Russian Orthodox Monastery the day after their Easter. And I found myself surrounded by soldiers, people, and television reporters interviewing their Patriarch for their television station. But on this occasion suddenly my prayer language began to pray. Another thing I found strange, Eva told me she liked, loved, or cared for this man and she showed me his picture and he had very large feet. Then on the same day as Irene and I walked toward the Monastery she began to tell me (without reason) that her ex-husband had very, very large feet. This reminded me of the picture Eva had shown me. On many occasions they both said almost the same things during walks and dinner. Like I said earlier they were as if they had studied the same script. This was very strange indeed! Another thing which struck me funny was during this whole European trip and after spiritual warfare I was always thirsty for Seven-Up or Sprite. At times after spiritual warfare, I could not drink enough. For I felt like I was going to physically die if I did not drink some. Then, when I got home this hunger for Seven-Up and Sprite left me. Very strange!! I am sorry to say I did not tour (sightsee) in Europe and only toured in Turku, Finland a little, but I did see a lot of Kiev, Ukraine. So I praise the Lord again for what I did see. There was heavy spiritual warfare on a few occasions, but the mission trip went well overall. Praise the Lord again! |
1252. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 16 Machi 1999. Unabii, Maono na Matukio kutoka 1252 hadi 1319 yalipokelewa wakati wa maombi ya safari ya Ulaya. Mimi huko kwa mara ya kwanza tulikutana na Eva na Irene uso kwa uso. Eva alifuatana nami katika safari ile ya kwanza ya Ulaya ya Magharibi na Irene aliniongoza kwenye sehemu ya pili ya safari hiyo; ambako yeye alinionyeshea Kiev, ya Ukraine. Ramani ya safari ya sehemu ya kwanza ya Ulaya Mangharibi .
Irene kwenye mmoja ya matembezi ya Kiev. Irene na mimi tukiwa kwenye chakula cha Pasaka kwenye nyumba yake. Ilikuwa ni wazo la Irene la kuchukua picha za pale Kiev. Eva na mimi hatukuchukua picha zozote kule Ulaya ya Magharibi. Kwa maana sisi tuliona kuwa kazi yetu ilikuwa nikuombea na wala siyo matembezi ya kitalii. Zaidi ya picha; mimi pia niligundua kuwa Eva na Irene walikuwa wanafanya mambo mengi ya yale (niliyoagizwa) kiasi cha kunifanya mimi niamini kuwa nao pia walikuwa wamepewa maagizo yale yale. Wao wote walinitunza mimi kama mama kuku anavyo watunza na kuwa hudumia vifaranga vyake. Wao wate wawili walishughulikia mambo ya fedha, sehemu kubwa ya mambo ya chakula, na pia kushughulikia sehemu kubwa ya matayarisho ya usafiri (taksi, magari moshi, mabasi, usafiri wa meli, n.k.). Labda nikiri kuwa ilinipa taabu sana kuwakubali na kuwa mnyenyekevu, lmwishoni mimi nikajisemea kuwa, "Kwa kweli Bwana ndiye anaye tuongoza. Kwa hiyo Raymond ebu funga mdomo wako!" Safari hiyo ilienda vizuri sana; kiasi ambacho nampa Bwana Sifa na Utukufu wote! Kule Turku, Finland siku ya Jumapili ya Paska; ya tarehe 4 Aprili, Eva alinitembeza kwenye Kanisa la Kiprebistariani na wakati tulipokuwa tunatoka Kanisani humo na kuingia mtaani, sisi tukapita karibu na Askofu Mkuu waa Jimbo la Ki-Prebistarini, akiwa anahojiwa na waandishi wa Runinga. Kisha wiki mmoja baadaye, Irene alinitembeza kwenye nyumba ya Kitawa (Monistari) ya Kanisa la Othodoksi ya Kirusi; siku mmoja baada ya Paska yao. Nami nikajikuta nikiwa nimezungukwa na askari, watu, na waandishi wa Runinga wakiwa wanamhoji Mkuu wao wa Kanisa kwa ajili ya kituo chao cha Runinga. Lakini katika tukio hili mara kwa ghafla lugha yangu ya maombi ikaanza kuomba. Kitu kingine ambacho nimekigundua na ambacho ni cha ajabu ni kuwa, Eva aliniambia kuwa alikuwa anampenda na kumjali mtu huyo na kunionyeshea picha ya mtu fulani ambaye alikuwa anaonekana kuwa na miguu mikubwa sana. Na katika siku hiyo hiyo wakati Irene na mimi tulipokuwa tunatembea kwenye nyumba ya Watawa; yeye alianza kuniambia mimi (bila ya sababu) kuwa mume wake wa zamani alikuwa na miguu mikubwa sana sana. Hiyo ilinikumbusha picha ile aliyo nionyeshea Eva. Katika nyakati nyingi wao waliniambia karibia kitu kile kile; wakati wa matembezi na chakula cha jioni. Kama nilivyo sema hapo mwanzoni ni kama wao wote wawili walikariri kitu kile kile. Hili lilikuwa ni jambo la ajabu sana! Kitu kingine kilicho nishangaza katika safari hiyo ya Ulaya ilikuwa ni kila baada ya mapambano ya kiroho mimi siku zote nilikuwa na achwa na kiu ya soda ya aina ya Seven-Up au Sprite. Wakati fulani baada ya mapambano ya kiroho mimi nilikuwa sitosheki kwa kiu ya soda hiyo. Kwa maana nilijisikia kuwa ningelikufa kabisa kimwili; kama nisingelikunywa soda hiyo. Lakini mara niliporudi nyumbani njaa au kiu hiyo ya soda ya aina ya Seven-Up pamoja na Sprite ili niachia mimi. Ni kitu cha ajabu kweli kweli!! Nasikitika kusema kuwa sikuweza kubahatika kufanya utalii wowote (kutembelea maeneo ya kitalii) kule Ulaya isipokuwa nilitembelea sehemu ya Turku, kule nchini Finland kwa muda mfupi, lakini nilibahatika kuona mengi kule Kiev, Ukraine. Kwa hiyo nina mtukuza Bwana tena kwa kile nilichojaliwa kukiona pale. Kulikuwa na mapambano makali ya kiroho mara mmoja mmoja, lakini safari kwa ujumla ilienda vizuri. Bwana asifiwe tena! |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )