1254. Vision given to Raymond Aguilera on 17 March 1999 at 7:30 AM.

The Lord gave me a vision of a bare human foot. As the heel of the foot lifted off the ground this enormous White Light could be seen as the foot moved and left a streak of White Light in the air as the foot moved, but I only saw one foot. (over)

1254. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 17 Machi 1999 saa 1:30 Alfajiri.

Bwana alinipa maono ya mguu wa mtu; uliokuwa hauna viatu (peku peku). Wakati kisingino cha mguu wa mtu huyo ulipokuwa unanyanyuka juu ya ardhi; mara cheche nyeupe kubwa sana au mwanga mkali, ukatokea na mstari wa mwanga huo ikanyanyuka angani kufuatana na mguu huo, lakini mimi niliona mguu mmoja tu. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.