|
1334. Vision given to Raymond Aguilera on 15 May 1999 12:20 AM. During prayer the Lord showed me a wall clock. The clock is set at 10:10. I do not know if it is AM. or PM. (over) Vision: The Lord gave me a vision of ancient Roman soldier’s helmet. (over) |
1334. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 15 Mai 1999, saa 6:20 usiku. Wakati wa maombi Bwana alinionyeshea saa ya ukutani. Saa hiyo ilikuwa inaonyesha kuwa ni saa 4:10. Sijui kama ni ya usiku au kama ni ya mchana. (Mwisho). Maono: Bwana alinipa maono ya kofia ya aina ile inayo valiwa na askari wa zamani wa dola la Kirumi. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )